Kwa wale ndugu zangu Wauzaji wa handbags na massimo(kama sijakosea kuiandika hiyo masimo) kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei za jumla handbags medium size pamoja na massimo
Pia naomba kufahamu bei ya jumla kwa pochi kubwa za kike
Nipo Kibaigwa Dodoma natafuta mtu ambae yupo dar es salaam au Morogoro ambae atakua ananiuzia na kunitumia kwa njia ya basi bidhaa zifuatazo
1. Bahasha no. 3- original na ya kawaida
2. Blubendi ndoo ya lita10
3. Foili
4. Radha za aina mbalimbali kwaajiri ya cake.
Kama upo tayari naomba...
Habari!
Sisi ni wazalishaji na wauzaji wa mkaa wa kawaida. Tuna vibali vyote vya wakala wa misitu, na mkaa wetu unazalishwa kutoka kwenye misitu endelevu iliyo ruhusiwa kuvunwa.
Gunia zetu zimeshonwa vizuri na haziendi zikidondosha mkaa, tunatumia mifuko mipya na kamba madhububuti kusuka...
Habari wa JF.
Kama title inavyojieleza hapo juu nahitaji chimbo ya jeans kkoo kwa bei ya jumla, kuna jamaa niliongea nae leo tuonane kkoo anipeleke matokeo yake hapokei simu ko nimeenda nimerudi empty.
Jipatie ubuyu mtamu sana wa kiarabu ambao unapata kwa ladha tofauti tofauti
Ladha ya Vanilla
Ladha ya Chocolate
Ladha ya Pilipili
Ni mtamu na hauchubui Mdomoni
Call:0752228138
Jumla na Rejareja
Je una butcher la samaki wa maji chumvi(samaki kutoka baharini),tunauza samaki kwa bei ya jumla bei zetu ni nafuu na unalipia pale unapopokea mzigo,mzigo wetu unaipokelea mbagara zakhem, tafadhari fungua hiyo picha uone bei zetu za samaki na pia unaruhusiwa kuuliza chochote
Leo nimezunguka mno kariakoo, sijafanikiwa kujua chimbo halisi la vijora. Kariakoo madukani Bei ni 5500 hadi 6000 Kwa visivyo na mtandio, na 10,500 hadi 11,000 kwa vyenye mtandio. Swali langu ni je, hawa wao wanaenda kununulia mzigo chimbo lipi, maana hata niliowauliza wamegoma kuniambia...
Wazee mpooo! Hiz raba mara ya mwisho tulipata tenda mwanza tukazituma. Kali sana na kuzugia zugia zinafaa
Size kuanzia 32 mpaka 43
Boksi zinakaa 24 na kila moja inauzwa elfu 10 kwa mchina so boksi lake ni 240k
Duka la mchina linapatikana mtaa wa Narungombe na Kongo (Kariakoo) na mchina...
Wakuu naombeni mniungishe
WA mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa
Hata pc moja nakupa bei ya jumla .
ADAPTER,KEYBOARD, RAM, VIOO VYA LAPTOP, HDD, HDMI CABLES STAND ZA KISHUA,MOUSE ,PROTECTOR . CHARGER ORIGINAL ZA TABLETS NA SIMU
Kwa wale wenye uzoefu na biashara ya maharage napenda kuuliza eti debe moja ya maharage inakadiliwa kuwa na kilo ngapi?
Au gunia lenye kilo 100 la maharage linakuwa na debe ngapi?
Msaada please
Wadau wa graphics,gaming,na video production nauza macbook Pro za 2018 kwa bei ya jumla
Specs:
Macbook Pro
display Retina Iris display 13.3'
RAM: 16GB
Storage: ssd 500GB
Processor intel core i 5 3.1.Ghz
Touch pad bar.
Graphics: Intel Iris Plus Graphics 650,1536
bought from USA
asking price ~Tsh...
Habarini Wana JF,
Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU.
Mtaji laki tano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.