Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utaoji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya liweze kutenda haki kwa wakati katika usuluhishi wa migogoro na kupunguza malalamiko ya Wananchi ili kukomesha...
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utoaji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya liweze kutenda haki kwa wakati katika usuluhishi wa migogoro na kupunguza malalamiko ya Wananchi ili kukomesha...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera Nazir Karamagi amefikishwa katika baraza la ardhi la wilaya kwa kupora ardhi ya mwananchi katika kijiji cha Itahwa na kupanda mazao ya parachichi.
Mwenyekiti Karamagi anatuhumiwa kupora heka sita.
Huyu ni mmojawapo wa viongozi aliowahi kuwataja...
Nimemshuhudia mara kadhaa, akitunushiniasha misuli na mawakili na hata kuwatamkia maneno yasiyo ya kistaarbu mbele ya wateja wao.
Najiuluza, kama Kuna tatizo mahala, hakuna namna nyingine ya kueleweshana badala ya kufokeana na kuoneshana umwamba mbele ya lay persons?
Kama sio frustrations...
Baraza la Ardhi na nyumba wilaya ya Mbulu liko eneo la Dongobesh. Huyu bwana ni mla rushwa, mbaguzi, katili asiye na utu.
Anashirikiana na wenye hela ktk eneo husika kuwadhulumu wanyonge. Ameshawanyanganya watu na kuvunja nyumba nyingi kwa ajili ya rushwa.
Anakula na ofisi ya msajili kanda...
Kwa wahusika,
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilaya ya Sengerema hajatoa nakala za hukumu ya kesi nyingi na leo ni siku ya 36 baada ya hukumu kutolewa, na ikumbukwe kuwa muda wa kukata rufani ni ndani ya siku 45 tu.
Hadi sasa mwenyekiti huyo hajulikani alipo na karani wake amepokea hela bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.