Anaitwa James Cameron kazaliwa Agosti 16,1954(70) nchini Canada sehem iitwayo Ontario.
Kwenye sanaa ambayo alianza kuifanya mwaka 1978 yeye ni mhariri, mwandishi na muongozaji wa filam na tamthlia na mpaka sasa amefanikiwa kuongoza filam nyingi maarufu zinazoendelea kushika kilele ata sasa...
Hawa ni baadhi ya watu ambao wanaweza kucheza character ya Avatar Aang kwenye filamu za Avatar ATLA, Je kwako yupi anafaa zaidi?
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
This is parody don't take it seriously 😀
Mabibi na mabwana napenda kuitambulisha kwenu Avatar yangu mpya ambayo nitaitumia kwa mwaka 2025 nakuendelea.
Haki zote zimehifadhiwa hairuhusiwi kutumia Avatar hii mahali popote pale bila idhini yangu.
Kuna baadhi ya avatar nilikuwa naziangaliaga juu juu lakini baada ya kuzifungua nilizielewa vizuri mfano avatar ya Tindo huyu yeye ameweka kifaa cha ujenzi mimi siku zote nilikuwa sielewi mpaka nilipo amua kuiview
Mahondaw huyu nilikuwa sielewi ni nini kumbe ni shape ya mwanamke
Meneja wa...
Itifaki imezingatiwa,
Wakuu, binafsi chanzo cha kutumia id-enter passcode ni shemeji/wifi/mtoto/mjukuu wenu, simu niliijaza pass words mpaka akitaka kufungua app yoyote inamdai aingize codes,
Baada ya kukuta na camera ya simu inamuhitaji code, alishindwa kujifotoa na kunipa jina zuri kama hili...
Wakuu za sahizi, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nipo hapa nacheka kaa fala kwa kweli. Hii ni baada ya kuona baadhi ya wanaume wanadatishwa kwa avatar za wanawake humu ndani bila kuangalia uhalisia. Asee nyie watu mnaenda kupigwa huko na vitu vizito watu mpaka mnaotana aseee 😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huwezi kuwa serious, kabisa...
Morning guys hii movie nimekuwa nikiitafuta kwa muda mrefu bila mafanikio huu ni mwendelezo wa avatar the last airbender part 1 hii ni part 2
Naweza ipata kwa website wazee mnipe muongozo
Wapenzi wa movie😅😅😅
Tulishachotwa akili kweli na hawa watengenezaji wa muvi. Hivi lini bongo movie tutafika huku..walishawahi kupata hata Tsh 10Mil???.
Issue Ipo hivi....
Muvi ya Avatar ilitoka 2009 ikashika rekodi ya kua muvi iliyoingiza pesa nyingi zaidi duniani baada ya kuvunja rekodi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.