amevaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sonofobia

    Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?

    Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani. Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe. Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu? ---- Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema...
  2. Waufukweni

    Mwanajeshi wa Rwanda, amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji

    Wakuu Kuna video hii ikimuonesha Mwanajeshi wa Rwanda, ambaye amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji na kumzonga wakitaka avue mask Pia, Soma: + Jeshi la Rwanda kusalia Msumbiji + Kujiondoa kwa Majeshi ya Africa Kusini...
  3. Mlaleo

    Mwanamke wa Iran avua nguo zote baada ya kughasiwa kuwa amevaa vibaya hijab

    Iranian woman strips clothes in protest after being assaulted for improperly wearing hijab - report University officials claimed that the woman was suffering from "severe mental pressure and had a mental disorder."...
  4. Waufukweni

    Video hii imegusa wengi, Tazama T-shirt ya Baba; binti amevaa joho lake. Kwake, Baba ndiye shujaa wake!

    Moja ya video iliyogusa hisia za watu ni hii ya binti huyu aliyejivunia kuvaa joho huku kando yake kuna Baba yake akiwa na furaha tele mwanae kuhitimu Chuo. Ingawa sifahamu kuhusu mama yake, ila inachukua dakika chache tu kugundua moyo wa binti huyu unazungumza nini?. Anaonyesha hamu kubwa ya...
  5. Huihui2

    Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar aondoka Gaza akiwa amevaa kama Mwanamke

    Jana Yahya Sinwar ameondoka Gaza akiwa amevaa Hijab --- Hamas leader Yahya Sinwar has been hiding among Palestinians “dressed as a woman” after abandoning Gaza’s terror tunnels, Israeli intelligence sources said last night. The architect of the October 7 atrocities was already a target on...
  6. Erythrocyte

    Hivi ndivyo Mbowe alivyotinga kwenye Msiba wa Lowassa, aingia akiwa amevaa kombati

    Katika watu wa Tanzania waliobarikiwa kuwa na mvuto wa kisiasa na nyota kwenye Jamii, Freeman Mbowe ni miongoni mwao. Huyu Jamaa anatisha. Kwenye Msiba wa Lowassa wamefika viongozi wengi mno wakiwemo hata viongozi wa kitaifa wa sasa na wastaafu lakini alipoingia Freeman Mbowe kuna kishindo...
  7. Kamanda Asiyechoka

    Je, ni sahihi waziri kufanya shughuli za Kiserikali akiwa amevaa gwanda za CCM?

    Waziri wa Nchi, @ortamisemitz Mhe. Mohamed Mchengerwa amekabidhi magari ya usimamizi shirikishi wa shughuli za Afya kwenye Halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro. Mhe. Mchengerwa amekabidhi magari hayo baada ya hafla ya uwasilishaji wa tarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 - 2025...
  8. Mwamuzi wa Tanzania

    Napatwa na hasira na munkari nikiona mwanaume amevaa hereni

    Msanii wa kiume au mwanaume yeyote nikimwona aidha kwenye video au live amevaa hereni nakuwa na hasira sana. Sometimes huko mitandaoni nakutana na wasanii nikisema niagalie kazi zao nikiona tu wamevaa mihereni wananikata stimu naskip .
  9. William Mshumbusi

    Kumbe vunja Bei kapigwa kitu kizito mno. Nimeona igenda amevaa jezi mpya ya Simba ikiwa na nembo ya VB akijitambulisha lkn inazibwazibwa

    Nimemuona huyo jamaa mkenya uko Simba app akiongea kavaa Uzi mpya juu ya nembo ya mo xtrer Kuna nembo ya VB inapaushwa kwenye video editing ili isisomeke. Kweli VB alifanya kosa kubwa kutoweka nembo za mo kwenye Uzi wa Simba wa kimataifa hata msahau Muhamedi Kamwe.
  10. Roving Journalist

    Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Mhe. Bernard Kamillius Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Viwanja vya Karimjee - Dares Salaam leo tarehe 14 Mei, 2023 Saa 4:00 Asubuhi...
  11. Mwizukulu mgikuru

    Ameondoka akiwa amevaa nguo yangu ya ndani ( boxa)

    Wakuu hii imekaa vipi jana nilipata pisi moja ya kanda ziwa ina mguu mnene balaa na tako zito, nikaikaribisha kwangu ikaoga vizuri, mara hooo mwizukulu mgikuru ninaomba nguo yako nivae hii yangu imelowa..ikabidi nimpe kishingo upande, usiku umepita vizuri tu , asubuhi anakomaa kuondoka amevaa...
  12. Hussein Massanza

    UFAFANUZI: Kwanini Habib Kyombo amevaa jezi ya DTB FC badala ya Singida Big Stars?

    Watu wa Soka, Juzi Jumanne 21/06/2022 saa 7:00 mchana tulimtambulisha rasmi mchezaji wetu mpya Habib Haji Kyombo ambaye tumemsajili kuja kuongeza nguvu kwenye safu yetu ya ushambuliaji. Kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii (@singidabsfc) tulichapisha baadhi ya picha zake akiwa anasaini...
  13. Superbug

    Video ya mzee inayotrend amebeba mfuko na amevaa kanzu amepotelea hewani kwenye kontena Kenya ni ya kweli?

    Kuna video inayostua Sana inamuonyesha mzee akiwa sokoni anatembea huku kamera ya mwanahabari ikirekodi taarifa nyingine isiyohusiana na huyo mzee Ila Cha kushtusha mzee anapotea Kama upepo ni video inayotisha. Mwenye nayo aiweke namimi najaribu kuiweka.
  14. mjusilizard

    Feeling tamu, kumkuta mkeo akikupikia huku amevaa shati lako oversize!

    Wakuu Hakuna feeling tamu kama umkute mke wako amevaa T-shirt lako oversize, no Bra, Halafu Anakuandalia Chakula Aisee, kama nawe unayo hebu zitaje tuone!
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Ni mavazi gani ukimwona kijana amevaa yanakutambulisha kuwa ni shoga?

    Habari zenu? Mashoga wengi huku Temeke wanavaa pensi za jinzi . Mara nyingi hizi pensi zao zinakuwa na sifa zifuatazo; - Fupi (hazivuki magoti) - Zinabana mwili - Zimetoboka au kuchanika mapajani. Sasa Mimi nimeanza kuconclude kuwa kila kijana ninayekutana naye barabarani amevaa hivi najua ni...
Back
Top Bottom