Rais Samia Suluhu Hassan amewasili hivi punde Kariakoo, Dar es Salaam, ambapo jengo la Gorofa liliporomoka Jumamosi na kusababisha vifo vya watu na wengine kujeruhiwa.
Kuhusu ajali hiyo, soma LIVE - Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 16 wafariki 77 waokolewa
Alipofika...
Imagine on daily basis, magorofa yanaangushwa tena intentionally at the same time hakuna maji hakuna umeme hakuna na chakula pia shida.
So much suffering in this world.
Mosi; kabisa nasikitika kushindwa kugika eneo la tukio sababu sihusiki na sina kibali cha kuniruhusu kufika eneo la tukio.
Pili; nimeshindwa kupiga picha yoyote maana nilifukuzwa kama haramia.
Tatu; nimeshindwa kuelewa huu ulinzi wa leo kwa nini leo na siyo jana na juzi wakati tukio bado la...
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila akizungumza hivi leo.kuwa uongozi wa Mkoa upo Tayari kuwajibika Ikigundulika kuwa kuna uzembe umefanyika katika kuwaokoa wale waliokuwa wameangukiwa na jengo na hatimaye kupoteza Maisha...
Kwanza,
Usimamizi wa ujenzi kariakoo ni mbovu, wakinga, wachaga, waha, wapemba wanajenga hovyo majengo marefu tena mengine bila hata uzio bado ni hatari.
Uokoaji kwenye majanga kama hayo kwa nchi yetu ni mbovu tukianza na meli ziwa Victoria, tukaja ajali ya treni, kivuko kule nansio, ndege...
Kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo video zinazosambaa inaonesha Jengo halikuwa na underground.
Hivyo mmiliki akaamua kuchimba kuweka maduka chini.
Hii bila shaka haikuhusisha mamlaka na wataalamu maana wasingeruhusu afanye alichofanya.
Naiomba serikali inipr huyu mtu nikae nae ndani siku moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.