Miongoni wa kundi linalokula keki ya Taifa kwa mrija bila kujali umaskini wa Wananchi ambao ni wapiga kura ni hawa wabunge wa bunge letu.
Wabunge wetu wamekuwa Wanalipwa posho, mikopo ya magari, Fedha za Mfuko Mbunge na mishahara. Fedha zote hizo ni mamiliini ya Shillingi fedha ambazo ni kodi...
Hakika sasa ndio nimejua kwanini Wajinga wengi wapo CCM. Hali ya Ugumu wa Maisha ya wananchi waathirika wakubwa ni Wanachama wa Chadema na ndio maana viongozi wao wanataka Mabadiliko makubwa ya KATIBA MPYA na TUME huru ya Uchaguzi yafanyike.
Mabadiliko haya yatabadili mambo mengi ya Kiuchumi...
Wadau kama mtakumbuka Waziri Silaa alipoteuliwa tu kuwa Waziri ktk siku zake 100 za kwanza moja ya maagizo yake mazito ni hili la kuzuia ujenzi wa vituo vya mafuta nchi nzima na kuwataka makamishna wasaidizi wa mikoa kumpelekea orodha ya vituo vya mafuta vikionesha umbali toka kituo hadi kituo...
Inashangaza na kustaabisha kuona MAKADA wa CCM wakiteseka sana na UENYEKITI wa KAMANDA MBOWE.Najiribu kujiuliza ni UJINGA wa Hao MAKADA kuacha kuhangaika na CHAMA chao na kuhangaika na UENYEKITI wa MBOWE?Sikumtarajia mtu kama Kigwangalah kushindwa kusema UKWELI juu ya KILICHOMFUKUZISHA Bwana...
Nimekuwa najiuliza KAZI za Waziri ni zipi?Je ni kusimamia Sera ktk Wizara yake au Kuzunguka Nchi nzima kutatua MIGOGORO?
Wizara ya Ardhi ni moja ya Wizara zinazoongoza kwa Migogoro Nchi kwa Miaka mingi sasa.Migogoro hiyo imegawanyika Sehemu kuu 2
1.Migogoro inayosababishwa na Wananchi
2.Migogoro...
Wadau kama mtakumbuka Makonda alipoteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM aliingia na mbinu ya kushangaza sana ya kwenda kwenye Maeneo ya kukutana na Wananchi kwa kutumia Mkokoteni, Trekta au kupanda Lori n.k.
Baada ya Kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha nilitarajia angeendeleza Mbinu ile ile...
CCM Watanzania tunataka KATIBA MPYA .Acheni kupotosha kuwa Eti KATIBA sio ya VYAMA bali ya WANANCHI wakati Wananchi hao hao wapo kwenye HIVYO VYAMA.
VYAMA ni LAZIMA viwasemee WANANCHI wa NCHI hii,Vyama lazima Viwaelimishe Wananchi hawa Faida ya KATIBA MPYA kwani Kwenye Vyama kuna Wasomi wengi...
Leo ktk kipindi cha ICU, Madaktari wa ICU walikuwa wamemtembelea Nabii Dominic. Ktk moja ya Maswali yao walimuuliza iwapo ana uwezo wa kumfufua mtu aliyekufa. JIBU alilowapa ni NDIO ninaweza kumfufua mtu aliyekufa na tayari nimewafufua watu 30. Nabii akaenda mbali zaidi akawaambia najua hata...
Najaribu kuwaza kilichowapata wafanyakazi wenye vyeti fake walibainika kuwa hawana vyeti halali ili kuhalalisha ajira zao.Wafanyakazi hao waliondolewa haraka serikalini na kusitisha mishahara yao na report ya CAG ikataja na fedha walizokuwa wanalipwa kama mishahara.
Halima mdee na wenzake 18 ni...
Hakika nimeona nitoe ushauri huu kwa wale wote MNAOOGOPA KUFA.Mtu akifa huonekana kama kaadhibiwa lakini ukweli ni kuwa Mtu akifa anaenda Sehemu nzuri na salama kuliko ALIPOKUWA.
Kuthibitisha hilo ni Wale wote waliokufa hakuna hata Mmoja aliyewahi kurudi tena ni wazi huko aliko ni kuzuri ndio...
Hizi ni baadhi ya shida za Wananchi ambazo Mkuuu wa Mkoa anapaswa kuzitatua.
1. Mimi nilikuwa Mzuri ila mume wangu kanifubaza kwa Mateso Mkuu wa Mkoa nisaidie" hiyo ni Kauli ya mmoja wa wanawake waliojitokeza kwa Mkuu wa Mkoa hebu tusubiri utatuzi wake, je atamrudishia Uzuri wake au itakuwaje...
MAKONDA HUYU HUYU ALIYEMPIGA MZEE WARIOBA
MAKONDA HUYU HUYU
Aliyevamia CLOUDS TV
Makonda huyu huyu aliyesema Liwassa katelekeza mtoto
Makinda huyu huyu aliyewasingizia kina Maji Gwajima na Mbowe kuwa wauza madawa LEO Ndio WAKUPAKWA MAFUTA? Kweli MUNGU anadhihakiwa sana
Ni wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais.
Kutokana na Kushindwa kupatikana KATIBA MPYA na TUME HURU na HAKI ya Uchaguzi ni wazi Uchaguzi wa 2025 unaenda kufanyika kwa...
Wadau naomba kujua, ni chombo gani kipo kisheria kinachowapima wabunge utendaji wao katika kipindi cha Miaka 5 ya ubunge wao au wanajipima wenyewe?
Nataka nipate taarifa za mbunge wangu kama ameyatekeleza aliyotuahidi wakati anaomba kura kwani Muda mwingi alikuwa Dar na Dodoma.
Wadau nawasabahi.
Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee na kundi lake uanachama.
Pia, CHADEMA wametekeleza wajibu wa kikatiba kulijulisha Bunge na Tume ya...
Wadau kuna tetesi nimezisikia kuwa Mh. James Mbatia aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kambwaga Mh. Joseph Selasini Mahakamani katika Kesi aliyofungua Mbatia ya Kumdhalilisha.
Katika Kesi hiyo Mh. Joseph Selasini ametakiwa na Mahakama Kumlipa Mh James Mbatia Tsh Milioni 80.
Je TAARIFA HIZI...
Nimekuwa Nafuatilia sana Mijadala juu ya UPATIKANAJI wa KATIBA MPYA NCHINI.Miongoni mwa Watu ambao nilitamani kuwasikia WAKIIPAMBANIA KATIBA MPYA ni pamoja na Muanzilishi wa MCHAKATO ule Mh sana JAKAYA KIKWETE.
Namtaja Mh.KIKWETE kwa sababu Mh.huyu alikuwa na HOJA muhimu kwanini alitaka...
Ni aibu kubwa kwa chama kinachojisifia kuwa kinapendwa na wananchi na kupigiwa kura za ushindi katika chaguzi. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana, amekuwa akiwaambia wananchi kuwa uchaguzi ujao utakuwa huru na haki na hakitajirudia kile kilichojitokeza katika uchaguzi wa 2019 na 2020.
Kauli...
Nije kwenye Mada yangu moja kwa moja. Naiomba TFF utoe ufafanuzi wa Sheria juu ya mchezaji ambaye hajakamilisha vigezo vya usajili wake je anaruhusiwa kucheza?
Na kama haruhusiwi mpaka akamilishe vugezo, adhabu ya Kucheza kabla ya kukamilisha vigezo kwa Mujibu wa sheria za FIFA na TFF ni zipi?
Inashangaza sana kuona CCM haitaki kabisa kuendeleza mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya katiba inayohitajika sana na wananchi. Mchakato huu ulianzishwa na mwenyekiti wa CCM wa awamu ya 4 Jakaya Kikwete na kuufikisha ktk ngazi ya bunge la katiba na mahafidhina wa CCM wakauvuruga mchakato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.