Search results

  1. J

    SoC03 Nini kifanyike ili kukabiliana taharuki ya mkataba wa bandari wa DPW nchini Tanzania

    Nimejibu kulingana na swali lako Kama ulivyoniuliza
  2. J

    SoC03 Nini kifanyike ili kukabiliana taharuki ya mkataba wa bandari wa DPW nchini Tanzania

    Kupitia upya mkataba ya uwekezaji inayotungwa na kuwekeana baina ya serikali ya Tanzania kwa pamoja ili kuweka mazingira mazuri kwa uwekezaji ili kuwavutia wawekezaji wengi kufanya uwekezaji katika sekta mbalimbali za kiuçhumi hatua hii itasaidia sana kukuza pato la mtu mmoja mmoja lakini kwa...
  3. J

    SoC03 Nini kifanyike ili kukabiliana taharuki ya mkataba wa bandari wa DPW nchini Tanzania

    DPWORLD ni kampuni kubwa ya biashara yenye makao makuu yake Dubai ambayo inajishughulisha na uwekezaji katika maeneo ya bandarini. Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopata bahati ya kuingia mkataba na Kampuni ya DPWORLD,hatua hii ya makubaliano Kati ya Tanzania na DPWORLD ili lenga kuboresha...
  4. J

    SoC03 Mapendekezo mapya ya elimu yakayoweza kusaidia kufikia soko la ajira nchini Tanzania

    Elimu ni maarifa na ujuzi anaokuwa mtu kuhusu jambo fulani, hivyo kusaidia katika kufanya kazi Fulani kwa ufanisi na matokeo ya kazi hiyo kuwezesha mtu kuinua hali yake ya kimaisha. Elimu ni sekta muhimu katika kuzalisha wataalamu na wahudumu mbalimbali wenye ufanisi na stadi mbalimbali ambazo...
  5. J

    SoC03 Kwanini katika jamii ya wamasai hakuna watu wenye ulemavu? Serikali inatakiwa kufanya nini ili kukabiliana na jambo hili kupitia utawala bora

    Wamasai ni miongoni mwa makabila maarufu katika manila takribani 150 yanayopatikana nchi Tanzania katika kanda za mikoa ya kanda za juu kusini hususani mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, jamii ya kimasai ni jamii maarufu katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kutokana na sifa ya kipekee ya...
  6. J

    SoC03 Changamoto za Uchumi wa Kati

    UTANGULIZI. Uchumi wa kati ni hali ya nchi kupiga hatua ya maendeleo ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kitamaduni,hivyo nchi huweza kujiimarisha yenyewe katika sekta muhimu za uzalishaji mali Kama viwanda,Kilimo, biashara na uchumi na kuongeza pato la nchi kwa haraka,hivyo kuachana na hali ya...
  7. J

    SoC03 Mabadiliko chanya katika Elimu

    Elimu inayotolewa shule ni inatakiwa kuwandaa wanafunzi kikamilifu katika kushiriki kwenye shughuli za uzalishaji kuondoa hali ya utegemezi na ukosefu wa afya
  8. J

    SoC03 Teknolojia katika uhifadhi wa mazingira

    Serikali katika kukabiliana na changamoto za uhifadhi wa mazingira haina budi kusimamia uwajibikaji na utawala bora kwa taasisi wizara maalumu zenye jukumu hili ili kudhiti madhara yanayotokana na uchafuzi wa mazingira.
  9. J

    SoC03 Misingi ya siasa safi

    Siasa safi ni msingi mkuu wa maendeleo nchini ambao inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa Sana kwani nchini isiyokuwa na siasa safi IPO hatarini katika kudumia kimaendeleo kwani siasa ndiyo inaamua mstakabali mzima wa maisha ya baadae
  10. J

    SoC03 Afya Katika Maendeleo Endelevu

    serikali inapaswa kuboresha huduma za afya vijini ili kuboresha afya za wananchi
  11. J

    SoC03 Shule ya Sheria Changamoto

    Shule ya sheria ni taasisi ya elimu ya juu inayotoa mafunzo ya kitaalamu kuhusu sheria na kuwapa wanafunzi stadi na maarifa ya kuwa wataalamu wa sheria. Shule za sheria zinatengeneza wanasheria wenye ujuzi ambao wanaweza kufanya kazi katika mazingira ya kitaalamu Kama vile mahakama,uchumi Ww...
  12. J

    SoC03 Teknolojia katika uhifadhi wa mazingira

    Uhifadhi wa mazingira ni juhudi za kuchukua hatua zinazolenga kulinda na kudumisha mazingira ya asili ikiwa ni pamoja na mimea,wanyama,hewa,maji na ardhi.Uhifadhi wa mazingira unahusisha kushiriki kikamilifu katika kuzuia uharibifu wa mazingira, kupunguza uchafuzi wa hewa,maji na udongo na...
  13. J

    SoC03 Afya Katika Maendeleo Endelevu

    Afya ni sehemu ni sehemu ya maendeleo endelevu katika kuimarisha afya bora za watu ili kuwawezesha kufanya vizuri na kuinua uchumi wao na nchi kwa ujumla katika jamii mtu mwenye afya bora huwa na uwezo wakushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii zao na kuchagia katika ujenzi wa jamii...
  14. J

    SoC03 Kilimo cha kisasa Tanzania

    Tanzania ni moja ya nchi zenye kilimo kikubwa barani Afrika na inachukuwa kama nguzo moja wapo ya uchumi wa nchi.Takribani asilimia 75 ya Watanzania wanajishughulisha na kilimo kinachotegemea mvua.Mazao yanayo limwa nchini ni pamoja na mahindi,mpunga,maharage,nyanya,viazi,mboga mboga matunda...
  15. J

    SoC03 Misingi ya siasa safi

    Makala hii ni muhimu katika kuangazia mienendo mbalimbali ya nchi zinazofuata na kuongozwa na demokrasia na katiba guru Kati ya watawala na watawaliwa, pia makala hii inasisitiza upatikanaji wa demokrasia kupitia misingi iliyowekwa ya haki na usawa kwa wote, Uhuru wa vyombo vya habari...
  16. J

    SoC03 Mabadiliko chanya katika Elimu

    Elimu ni sekta umuhimu ya kijamii katika kuchochea maendeleo ya ukuaji wa jamii ambapo inahusisha utoaji wa maarifa,ujuzi na mafunzo mbalimbali kuhusu maadili na stadi za maisha, sasa na utawala bora, ufundi na shughuli mbalimbali za kiuchumi Kama vile kilimo, ufugaji, uvuvi na biashara kwa...
Back
Top Bottom