Kwa yanayoendelea,CCM na CDM ni vitu viwili tofauti.
Maji na Mafuta vimejitenga,wenye akili timamu wote wameona.
Watu wanafanya Siasa za Kizandiki,wanaibuka watu Jasiri kutetea Umma wanaonekana wahaini na Vituko!
Na watu bado wanatetea Ujinga!
Ndio Upinzani huu!
Huu umekuwa zaidi ya Uchaguzi...
Sikisemi CDM kwa ubaya lakini wameonyesha udhaifu mkubwa,hoja wanayoitoa wapinzani wa lissu huko Chadema kwamba Mikononi mwake Chama kitapasuka,au Hana uwezo wa kuongoza Chama kwa sababu ni Mropokaji!.kwa kweli zinaogofya!
Huyu mtu alikuwa mgombea Urais wenu,Makamu Mwenyekiti wenu!..Leo Ghafla...
Mimi namsifu Mama Samia na timu yake.
Kupika Fitna ya namna hii inahitaji akili ya namna yake.
Wamejaa kwenye Hela,lissu Akianzisha Chama,wanagawana kura na CDM huku CCM inapita landslide!
Politics!
Acha kujiblindfold,unajizima data.
This time mmeingia mtego wenyewe.
Tunajua Mbowe hawezi kumpisha lissu Wala hawezi kuruhusu ashinde.
Yeye mwenyewe anaenda kubaki na chadema yake dhaifu.
Mwenyekiti na machawa wake kama wewe hii imekaa Vibaya,Mwenyekiti akijiloga akawa fair,anashindwa asubuhi...
Nakipenda CCM,sio kwa sababu ni Chama Bora sana.
Lakini kwa kweli CCM wamefanya KAZI kubwa sana ya Maendeleo hapa Nchini.
Sina Uhakika pengine wengine wangefanya Vizuri zaidi lakini kwa bahati mbaya hawakuwahi kupata nafasi.Waliopata nafasi ni CCM na wameitendea Haki nafasi hiyo.
Nchi yetu ni...
Naona wengi tunalaumu kwa nini watu hawakuingilia na kuwazuia watekaji.
Niwe mkweli,zaidi ya kujaribu kurekodi nisingeweza kutokea Front kuwazuia watekaji.
Sio kwamba Sina ujasiri wa kufanya hivyo,la hasha!
Kila mtu apambane na hali yake.
Nimeamua kuishi kama Fala sio kwamba Mimi mjinga,sitaki...
Mimi na wewe wote hatukuwepo watu walipotekwa,Wala hatukuwepo kwenye Jengo kariakoo!
Sishindani na wewe.Ninachosema ni kwamba kama "Askofu" Angekuwa mtu fair kitaasisi asingelitoa lawama na kulinganisha mambo kama hivi!
Kwa nafasi yake anatakiwa kutenda Haki Kila upande!
Hakuna Serikali...
Kweli,utekaji ni jambo baya lakini sio "AJALI" mbaya kama kuangukiwa na GHOROFA!
Angejaribu kuhisi maumivu makali waliyopitia hawa wahanga,wengine wakatoka hai na wengine wakafariki,basi hekima ya "KIASKOFU" ingemtuma vingine,kama hakuongea wakati wote huko nyuma basi angeendelea kukaa kimya...
Kuna majengo Kariakoo tunayahesabia siku tu,ujenzi holela pia umekithiri siku hizi.
Zinajengwa ghorofa nyingi zina underground na hazina Ubora.
Mtu anajenga fremu,anapangisha Kisha anaendelea na ujenzi juu!
Watu kuangukiwa na mawe na nyundo chini ni jambo la Kawaida tu kariakoo!
Ndio tulipofika...
Nimefanya mistakes Nyingi wakati nakua.
Lakini makubwa ni Kutowasikiliza Wazazi,kutumia mihadarati na Pombe.
Kushiriki ngono na watu walionizidi umri!
Kijana usirudie haya makosa.
Yananicost mpaka Leo hii.
Mimi nilikwenda Kwa Mtu mmoja mkubwa sana Jeshini wakati huo,akiwa ni swahiba wa Mzee wangu.
Wakati wa kula nilijionea Vituko.
Kulikuwa na Samaki wa Mchuzi na mkavu,Nyama ya Ng'ombe Kavu na ya mchuzi,kuku pia hivyo hivyo.
Mboga za Majani zaidi ya tatu.
Mezani Kuna wali,ugali na pilau!
Juisi ndio...
Tena wakae mbali na wewe MKUU.
Watu wamepigwa mjegeje wenyewe wanaichekea kamera!
Wangekuwa hawataki si wangekataa tu.
Tumeona kwenye video zote hakuna hata Moja uliyomlazimisha mtu.
Uzuri zaidi wewe si mtu wa kula tuzi,hatujaona ukikata ringi hata mtu mmoja.
Huna kesi Mkuu.
Mimi nakupongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.