Search results

  1. Jabali la Siasa

    Waziri Nape aishukuru mchango wa JamiiForums kwa kuendelea kuhabarisha umma

    Huku ndio Great thinkers tu wanaishi, Jf ndio sehemu unaweza ukapata habari kwa uhabari wake
  2. Jabali la Siasa

    Kinana: Rais Samia wanayemsema ndio ameleta uhuru uliopo nchini sasa hivi, akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?

    "KATAENI JUHUDI ZINAZOFANYWA ZA KUJENGA CHUKI DHIDI YA RAIS"* ""Wanasema (CHADEMA) Rais Samia ni mzanzibar na hana nia njema na sisi (Tanzania Bara); hayo maneno hayana ukweli hata kidogo. Watanzania kataeni sumu hiyo (sumu ya utengano) inayotaka kujengwa miongoni mwetu." Komredi Abdulrahman...
  3. Jabali la Siasa

    Makalla: Uchaguzi Mkuu utakuwa huru, haki, Wazi. Media, CHADEMA, ACT, CUF, TLP rukeni sarakasi zote ila kumbukeni hatuna mbadala wa Tanzania

    Sasa kama mnaanzisha chama na kinaongozwa na familia Moja kwa miongo mitatu, Kweli mnazo akili?
  4. Jabali la Siasa

    CCM kumejaa waoga na wanafiki,Lissu anahoja asikilizwe

    CCM waoga tangu lini? Sio Kila kichaa unapashwa kumjibu " Don't argue with the fool people might not notice the difference"
Back
Top Bottom