:cool: na mwenye ushahidi namba moja ni ww?.
Achana na propaganda za wanasiasa, huwa zipo kuchafuana Sheikh. Siasa ni kama gangster's game yaani wins & loses na hapa namaanisha ukipoteza, mwenzio ana survive...
Unajitafutia ugomvi na singo mazas ww.
Anyway, najazia tu; na usithubutu kupoteza hela zako kwa hiyo kausha damu, baba watoto asomeshe na usiingilie wajibu wa mwanaume mwenzio...
Pointless na zero brain kabisa...
Kipi bora kati ya kusababishiwa ugumu wa maisha na watu wachache kwa miaka zaidi ya 60 na kusababishiwa ugumu wa maisha na watu wengi kwa siku moja na baadaye maisha mengine yakaendelea?.
Watoto wa kwenye mirija ya CCM tatizo lenu hamtumii akili kuwaza ninyi...
Wanakupa heshima, wanakufungulia kiwanda cha kuku wa broiler nchini kwako ili mapunga yazaliwe kwa wingi kisha wanachukua gas na wananchi wako wanaendelea kutumia kuni na mkaa miaka nenda rudi na hapo nchi yako inageuka jangwa na kuwa gizani sababu hakuna umeme. Wanachukua madini yote na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.