Swali langu ni hilo tu..
Nyie watu mnahofia nini ?kwani hiyo dua ikisomwa inatawahusu nyie?
Hiyo ni dua maalum ya kuwasaka wasiojulikana.
Mnatutia mashaka sana.
Awe anajua au hajui lkn ndiye rais wako, wewe unayejua utaendelea kuwa chini yake kwa miaka yake yote kumi ya uongozi wake sure, akimua lolote lazima ufuate haijalishi unataka au hutaki
Wewe huogopi kwakuwa upo nyuma ya keyboard.. Usishindane na aliyeshika mpini, hayo maneno ya Lisu ni ngonjela tu ,real I tell you!
Lisu angekuwa na nia ya kupata kiongozi bora wa nchi hii kweli basi asingekuwa na sababu ya kuendelea kuwa mwanachadema tangu walipo mkaribisha yule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.