Sema wapunguze mziki afu waweke vichekesho vya kutosha
Sijajua wana rights gani na matukio yao yaliyopita ila hata wakirusha yale itakuwa fresh wakati tunasikilizia content mpya
Watu wengine sijui huwa mnawaza nini maana sisemi pumba ila kuna ushabiki usio na maana, hivi unajua idadi ya waliopoteza maisha wakati wa hitler??? Au ndio unaandika tuili kujustify kile ambacho akili yako inakutuma
Unaweza kujenga hoja bila kubaka takwimu na utaeleweka tu
Ukiona kipengele jaribu kucheki nadawa za kichina au wakorea, wale jamaa sio poa dawa zao zile za asili lakini zimewekwa kisasa huwa zina ufanisi kwenye vitu vingi
Ni mojawapo ya movie bora sana, hii ilinifanya niache kudharau majina madogo kwenye filamu, mwanzo ilikuwa kabla ya kupakua lazima niangalie kwanza producer nani
Nikikuta majina makubwa sijui zile universal au marvel ndio nashusha
Ila sasa hivi na nacheki tu content.
Hiyo movie na ile ya good...
Nilisikiliza na kufuatilia vizuri pambano hilo, we umeweka katika namna ambayo sidhani ilikuwa na utata bali ilikuwa katika kuchagiza tu na vionjo vya hapa na pale kitu ambacho ni kawaida na sio name calling
Kipengele nilichoona kilikuwa ni kuonesha mahaba ya wazi kwa yule Matumla hapo ndio...
Israel alisema ni lazima atalipiza kisasi dhidi ya mashambulizi ya Iran maana asipofanya hivyo ni ishara ya Unyonge, hakusema lini na wapi,
tunashangaa tu ukungu huo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.