Search results

  1. LICHADI

    Hii Dawa ya Ciprofloxacin iangaliwe vizuri naona kama ina Maajabu yake

    Naona inatibu vitu vingi
  2. LICHADI

    Mabilioni ya mababu zetu waliofariki kabla ya kuletewa Uislam kwasasa Wapo Motoni au peponi?

    Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana Lakini mimi nachotaka kujua ni kwamba Mababu zetu kabla ya kuja wa Waarabu walikuwa na imani zao na maisha...
  3. LICHADI

    Huyu Israel Mbonyi ni Mrwanda kweli?

    Jamaa naona anaimba Pure Swahili Gospel kali sana ni muimbaji mzuri sana na anachonifurahisha ameacha lugha yake ya kinyarwanda kakichagua kiswahili kufikisha ujumbe wake last time nilijua ni Mtanzania https://youtu.be/qI1yCpa4UFE?feature=shared Mungu ambariki[emoji120]
  4. LICHADI

    Kigamboni Ferry hakuna Stendi ya Mabasi Aibu

    Upande wa kigamboni Kutokuwa na Stendi ya mabasi ni aibu upande wa stendi ya Daladala zinazoenda Kimbiji,kongowe,mjimwema stendi ni ya tope na chafu ikinyesha mvua ni aibu matope kila kona, Hakuna stendi maalum mgari na mabajaji yanapaki hovyo na ikinyesha mvua utakimbia aibu sana
  5. LICHADI

    Mwarabu ni Ruksa kuwa Muislam ila kuowa Dada zao ni Ugomvi mzito

    Mwarabu kaja na majahazi hapa Kaleta Dini kwa Mwafrika kwao kuowa Dada zetu Africa ni Ruksa ila ukitaka vita nenda kaowe Dada zao wa kiarabu au ingia kwenye mahusiano na Binti wa kiarabu hata muwe Dini moja alafu ndugu zake wajue utaona hiyo shuhuli yake itakavyokuwa nzito[emoji2][emoji2]...
  6. LICHADI

    ATCL inapata hasara ila bado Serikali inanunua ndege

    Tokea kipindi cha Jpm Shirika linapata hasara na bado mnanunua ndege mpya kila mwaka CAG anasema shirika lina hasara ya Mabilioni hivi huwa mnashauriwa na nani, Kama Bandari imetushinda tukampa mwekezaji kwa nini hizi biashara msingewaachia wawekezaji nyie mchukue kodi Mwendokasi wenye Watu...
  7. LICHADI

    Wafanyakazi wa Bandari tuliwatetea sana ila tunawaacha mteseke, Mmechangia kubinafsishwa kwa Bandari

    Moja kati ya watu Ambao nlipinga sana kubinafsishwa kwa Bandari basi mimi ni mmojawao sikupenda kabisa huu mpango, Lakini nilipokaa na kukumbuka kipindi najitafuta nikiwa nafanya Vibarua Bandarini kabla sijapata ajira ya kudumu naona acha hiyo bandari waarabu waichukue wafanyakazi walikuwa...
  8. LICHADI

    Wakinga wanatakiwa wabadilike sana ili kufikia level za wachaga

    Mkinga anaitafuta hela kwa watu wote tz ila akiipata yeye huwa ni mwiko kutumia yaani unaweza ukamkuta mkinga kakaa kama maskini ukiambiwa ndani anamiliki mabilioni Utakataa, majamaa wanaishi kama mafukara na hela wanazo na maisha sio ya kudumu, ushahidi ni Mkinga mmoja hapo town alikua...
  9. LICHADI

    Ukiwa mpambanaji kuwa makini na idadi kubwa ya wapenzi watakufilisi

    Ukitaka uwe mtafutaji wa hela halafu uje ulalamike hela huioni wakati inapatikana wewe kuwa kwenye mahusiano ya kudumu na rundo la wanawake, wanawake wa sasa ni chazo kimoja wapo cha kutufilisi wanaume Kwa usalama wa kipato chako kuwa na mwanamke mmoja kama ni michepuko kwa usalama wako usiweke...
  10. LICHADI

    Haney apigwa vibaya na Ryan Garcia

    Usiku wa kuamkia leo kulikuwa na pambano Kali la ngumi Kati ya Ryan Garcia na Devin Haney pambano ambalo Davin aliangushwa chini mara 4 huku akichezea kichapo kikali, Kumbuka Davin ni bondia ambae amekuwa akibebwa sana hasa katika pambano pake na Lomachenko vasily alipigwa lakini ushindi...
  11. LICHADI

    Serikali ipo tayari kununua Mashangingi kwa bilioni 190 ila mabasi ya Mwendokasi hela hawana

    Hii nchi ndio mjue kila kiongozi anaangalia maslahi yake hakuna mtu serious wa kuangalia naslahi ya mtu. Mtu anapitisha bajeti kununua Ma V8 kwaajili ya kiongozi mmoja mmoja halafu yapo magari mazima wanayaharibu makusudi yanakuja kuuzwa mnada kwa milioni 8 ili zinunuliwe mpya! Ila Mwendokasi...
  12. LICHADI

    Msitumie wasanii kuipamba awamu hii mnatia aibu

    Naona nguvu kubwa sana inatumika kuipamba hii awamu kuwa inafanya makubwa, Wasanii wanabebwa na kupewa posho kila kukicha matarumbeta insta Mama anafanya makubwa Jamani sisi wananchi huku ndio hali tunaijua na sisi ndio tunatakiwa kusifia au kuponda msilazimishe kusifia mambo ambayo hata nyie...
  13. LICHADI

    Wanaume wa Kikristo hizi ndio njia za kuwapata mabinti wazuri wa kiislam ukiwapata hutojutia

    Wanaume wenzangu wa Kikristo moja kati ya zawadi na utam ambao hutakiwa kuukosa hadi unaondoka Dunia hii ni kupata mapenzi ya wanawake wa kiislam wale watu ni balaa lingine linapokuja swala la mahusiano ni watam,haswaa na wanayajua mapenzi ila wengi mmekuwa mkipigwa chini sababu hamjui hizi...
  14. LICHADI

    Dereva wa Basi la Mwendokasi adaiwa kuwapitiliza Vituo Abiria baada ya kukasirishwa

    Dereva katoka Gerezani akiwa na hasira gari limejaa milango hadi inataka kupasuka, Akasimama Faya watu wakawa wanamwambia kwa jinsi Gari ilivyojaa sana unatuumiza funga fungua fuata utaratibu sababu gari ni express kama ilivyoandikwa simama manzese kama ilivyo taratibu Dereva akasimama na...
  15. LICHADI

    Uwe makini sana na watu wenye tabia hizi WhatsApp

    1. Mtu yoyote ambae anatumia whatsap na kaondoa Blue tick, unapofanya Biashara na mtu kama huyu uwe makini sana kama humfaham hata hela usitume, mara nyingi watu wanaotumia mfumo huu huwa ni watata hata hela usije jaribu kumkopesha. 2. Mtu alieset whatsap yake kwa mfumo wa disappearing message...
  16. LICHADI

    Mkiambiwa mke wa mtu sumu nimeamini sumu kweli

    Jana nimepanda daladala ile kuingia tu nikakaa siti moja na mdada kumbe yeye ananifaham na mimi nilishamsahau, kumbe niliwahi kufanya nae kazi kipindi flani, akaanza kunichangamkia kwa stori mbili tatu, hapo hapo konda kudai nauli nikamlipia na yeye. Kumbe bwana yule dada siti ya nyuma alikuwa...
  17. LICHADI

    Nna mashaka makubwa na uwezo wa Wanaoitwa wasomi wa Tanzania

    Vijana mmekuwa mstari wa mbele kuisumbua Serikali iwaajiri lakini mkiingia huko mmekuwa ni mizigo kila Sekta hamuwezi kuitumia Elimu mliyonayo kuisaidia nchi wasomi ambao naona ni Bomu la kwanza na wanaotakiwa kipunguzwa ajira zao ni Wasomi na wataalam wa kilimo hawa ndio namashaka na elimu yao...
  18. LICHADI

    Vijana wengi wa JF hela hawana ndio maana kila siku ni kataa ndoa tu

    Imefika kipindi tu ukifungua App ya jf basi katika mada tano za juu huwezi kosa mada ya kataa ndoa au wanawaka wanaomba sana pesa yaani hoja ya kuwaponda wanawake kuwa ni omba omba huwezi ikosa vijana wanalia lia tu Jamani mtu ukiwa na hela utajikuta mwenyewe unahonga tu ila pesa ikiwa haipo...
  19. LICHADI

    Mnaotafuta dawa ya nguvu za kiume hii hapa

    Nishawaambia sana jamani acheni kuliwa hela zenu na hao waganga njaa mnafakamia madawa halafu hamjui madhara yake na mnatapeliwa Nguvu za kiume zinapatikana Baharini jamani yaani nyama ya samaki na viumbe wengine kama pweza na ngisi supu yake ni tiba namba moja na kusimamisha uume wako...
  20. LICHADI

    Israel yupo sahihi kabisa kutembeza kichapo hadi Hamas iwe na adabu

    Tatizo la waarabu ni kupenda fujo alafu watu wakianza kulipiza kisasi wanaanza kulia lia tuoneeni huruma tuoneeni huruma, Inshort waarabu ni wakorofi na Nguvu za kupigana hawana Ukiangalia hii video baada ya Hamas kuuwa Waisrael 1400, Walivyochukua mateka tu baada ya kuwaingiza Palestina...
Back
Top Bottom