kwa mwenye uhitaji wa simu nauza windows phone nokia lumia 1520, internal 32GB RAM 4GB na ina 4G
Nauza shilingi 550k ni PM mwenye kuhiitaji au piga 0789120179
simu ipo katika hali nzuri
Jaman hawa wanawake ni pasua kichwa kwa kwel
Nilichokiona ni kua wanawake wana ile hulka zaid kua na na mwanaume zaid ya mmoja kuliko wanaume wafanyavyo kwa wasichana ila tu hulka zao zinazimwa kutokana na uoga na kua chini ya mtu au mamlaka fulan kila mara
Hakika napata shida kuamini mwanamke...
asante kwa majibu yako mazuri yenye mshiko na kuridhisha
kama sijakusoma vibaya ulisema HIV haviambukizwi kwa njia ya damu na vimiminika vyovyote vya mwili sasa mtu anapopima na anapokutwa na HIV huwa vinatoka wap au iweje HIV iwe kwa mtu ikiwa mwanzo hakuwa navyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.