Search results

  1. Nyani Ngabu

    Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Hiyo ni kawaida sana katika lugha ambazo huzungumzwa na watu wengi waliotawanyika kwenye eneo kubwa kimakazi. Hiyo hali inaitwa lahaja. Hata Kiswahili cha Mombasa kina tofauti na Kiswahili cha Nairobi na sehemu zingine za Kenya. Hata Kisukuma nacho kina lahaja zake. Kinyantuzu [Kisukuma cha...
  2. Nyani Ngabu

    Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Una kamusi ya Kiswahili?
  3. Nyani Ngabu

    Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Ni kamusi gani ya Kiswahili inayolifasili neno ‘kuonyesha’ kuwa ni ‘onya’/ ‘onyo’?
  4. Nyani Ngabu

    Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Kuonyesha ni neno sahihi. Kuonesha nalo ni neno sahihi. Yote yana maana moja.
  5. Nyani Ngabu

    Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Hapana. Kuonyesha si kuonya. Kuonyesha ni neno sahihi kabisa la Kiswahili.
  6. Nyani Ngabu

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    🤣🤣 Umeshindwa kuyajibu kwa sababu hujui unachokiongelea ndo maana unajificha nyuma ya lame excuse.
  7. Nyani Ngabu

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Utaandika magazeti yote leo lakini maswali yangu mawili tu yamekutoa kwenye reli na kuanza personal attacks 🤣 na kuninukuu mara mbilimbili. Dalili za mtu aliyeshindwa hoja. Yajibu basi yale maswali yangu mawili.
  8. Nyani Ngabu

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Sasa si ujibu tu hayo maswali niliyokuuliza! 🤣
  9. Nyani Ngabu

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Nimekuuliza maswali mawili tu! Umeshindwa kujibu. Badala yake unanishambulia mimi. Umeshindwa hoja, umeleta viroja. Bye Felicia 🤣.
  10. Nyani Ngabu

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Ukiwa vitani halafu ujikute unahitaji kupigana ngumi ili ujinasue, umekwisha!
  11. Nyani Ngabu

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    I got you exactly where I want you! Haya, tell me…..what kind of takedown defenses are they taught in their advanced mixed martial arts training? What types of submissions are they taught?
  12. Nyani Ngabu

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Special forces hawana advanced skills za mixed martial arts. Mixed martial arts kwenye special forces ni supplemental tu. Sijawahi kuona advanced training [ya hand to hand combat] ile kwa special forces. Hakuna tofauti yoyote ya mixed martial arts training wanayopata special forces na vikosi...
  13. Nyani Ngabu

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Basic training ni kwenye hand to hand combat. Hawana skills za kuweza kulinganisha na amateur fighters wala professional fighters. Ni wapi hao special forces huwa wanapigana kikweli kweli? Ni kwenye mashindano gani? Halafu unadhani ni nani huwa anawapa hao special forces hizo hand to hand...
  14. Nyani Ngabu

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Wapi kanisifia?
  15. Nyani Ngabu

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Huwezi kulinganisha fighting skills za special forces na za professional MMA fighter. Totally two different things. Mjinga hapa ni wewe.
  16. Nyani Ngabu

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Tanzania hakuna elite mixed martial artists. Hata mabondia elite Tanzania hatuna. Ila kwa viwango vya Kitanzania, si ajabu kuna posers mnaowaona ni wa maana sana ilhali hakuna kitu. Heck, hata jeshi la Tanzania ni la 6 kwa ubora duniani 🤣.
  17. Nyani Ngabu

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Somebody is having a bad hair day.
  18. Nyani Ngabu

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Best wings in town 🏆.
  19. Nyani Ngabu

    Uliwahi kumblock nani mazima mpaka leo hii hujamu unblock lakini pia hufikirii kumdelete

    Mzigua90 what the hell is this? 😀 https://youtu.be/iog_hO_6rno?si=3VGgiCHNWTrl9_X7
  20. Nyani Ngabu

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    🖕🖕🖕🖕x 100 times the American military budget.
Back
Top Bottom