Nitawaletea Dondoo za Hotuba hii.Nakala ya Hotuba Nzima watapewa waandishi wa Habari baada ya Hotuba kwa faida ya sanaa ya Habari ili Vyombo vya Habari viripoti kwa Weledi na ufasaha
-Tayari Waandishi wa Habari wameketi
-Viongozi wakuu Wakiongozwa na Mhe.Freeman Mbowe wanaingia Ukumbini
Hotuba...
Hongereni Wapambanaji: Sasa Rais Magufuli anahitaji maombi ya kumjenga kiroho aelewe kuwa Malaika wa Mungu hatendi kwa Tamaa za Mtu. Leo sitoi Onyo wala Angalizo. Sitoi Tahadhari.Natoa pongezi kwenu wapambanaji mliopambana kupitia mitandao ya kijamii kuukosoa utawala huu bila kuonesha hofu mbele...
Safari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko
Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata. Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia...
Angalizo: Post hii imeandikwa kwa Upole kabisa.
Jana Jioni Tukaondoka Bukoba kwenda Dodoma tukamuacha Mhe.Mbatia akiendelea kushirikiana na viongozi wengine eneo la Maafa
Polisi wakaanza kumtafuta na mwisho wa Siku wakamzuia kuendelea kutembelea maeneo hayo na kugawa misaada mbalimbali
Tuna...
USAHIHI KUHUSU SAFARI YA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA MHE.FREEMAN MBOWE:
Usiku wa Leo Tarehe 22/08/2016 imesesambazwa Taarifa kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.Freeman Mbowe amepanga kusafiri nje ya nchi tarehe 28.08.2016 yaani siku 3 kabla ya Maandamano na Mikutano ya Kisiasa iliyopangwa...
Hotuba ya Freeman Mbowe:Naweletea Live Updates sehemu ya kwaza ya Hotuba hii.Sehemu ya kwanza pia wanahabari wamealikwa na Sehemu ya pili ni kikao cha ndani.
Updates:
-Nachukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia Afya ya kukusanyika hapa tena
-Kwa niaba ya chama napenda...
Let me now declare Unequivocally,Unambiguously,without prevacation or Circumlocution that John Magufuli is such unprincipled,Inconsitent,Inept,Incompetent and Selfish Leader.
Alipokua akihutubia wakuu wapya wa Wilaya alisema haamini katika watu kujilundikia vyeo viwili
Yeye Amekubalije kuwa...
Nimekua nikijizuia sana kutoa maoni kuhusu Kitendo Cha Prof.Lipumba kuondoka ndani ya CUF kwa sababu alizozitoa na yote aliyoendelea kusema na kutenda hadi kufikia siku za jana .Hii ni kwa sababu ya kanuni niliyojiwekea ya kuheshimu Mchango wake katika mageuzi,kujitoa kwake sadaka na pia...
Serikali ya Tanzania sasa itoke hadharani kujibu Tuhuma za Serikali ya Kenya na viongozi wa Muungano wa JUBILEE kuwa Rais Magufuli anamdhamini kifedha Kiongozi wa Upinzani Raila Amolo Odinga kusababisha Maandamano, ghasia na hatimaye kuipindua serikali ya Rais Uhuru Kenyatta.
Siku Chache...
Zitto Kabwe kaitwa Polisi na Kuhojiwa Leo kuhusiana maudhui ya Hotuba yake kwenye Mkutano wa Hadhara Mbagala.Maudhui ya hotuba hiyo ameyaandika Gazeti la Raia Mwema La Leo Uk.23
Zitto amehojiwa kama vile ameshindwa kuchagua maneno ya kumkosoa Rais na akahojiwa eti amemchonganisha Rais na...
Alipoteuliwa Ole Sendeka kuwa msemaji wa CCM Niliwahi kusema hatua ambayo CCM imefikia inahitaji mtu wa aina yake.Haihitaji mtu mweledi kwa kuwa ataona aibu ya kujidhalilisha.Inahitaji mtu asiye na aibu mwenye uwezo wa kusema au kufanya lolote kwa kujitoa ufahamu hata kama anao kidogo...
Honestly,Nampongeza Mama Janneth Magufuli kwa maneno mazito aliyoongea katika hotuba yake kwenye Ziara ya huko Ruangwa alipowahutubia wazee.Mwenyezi Mungu amuepushe na busara hewa na akili za Mwendokasi.
Ametoa hotuba ya kinyenyekevu na ya busara kuhusu umuhimu na mchango wa wazee kwa Taifa...
Mageuzi yanahitajika Mahakama ya Kimataifa
Na Ben Saanane
Toleo la 454
RAIS wa Kenya ametangaza rasmi kuwa nchi yake haitashirikiana na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) baada ya Makamu wake, William Ruto, kunusurika, na mahakama hiyo kudai kuwa mashahahidi walitishwa. Waltet...
Kwanza natoa pole sana kwa familia iliyoguswa na msiba wa ndugu zetu waliouawa kwa kukatwa mapanga
Nalaani mauaji haya ya kinyama ambayo hayaakisi Utanzania wetu bali yanaakisi Roho za Kishetani na Himaya yao.Haikubaliki hata kidogo
Jana Makamu wa Rais kwa niaba ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa...
Upatu wa DECI, Babu wa Loliondo na mkumbo wa Rais Magufuli
Na: Ben Saanane
RaiaMwema Toleo la 456
4 May 2016
UTAFITI uliofanywa na wasomi wa Chuo Kikuu cha Nottingham nchini Uingereza ulibaini kuwa Watanzania ndio watu wanafiki zaidi duniani. Nilisikitika na kujihisi fedheha niliposoma...
Duru Za Kimataifa: Pyongyang-Korea ya Kaskazini
Masaa machache yaliyopita Taifa la Korea ya Kaskazini limefanya majaribio mapya ya Makombora ya Masafa mafupi(Short Range Missiles) .
Jana nchi wanachama wa UN Security Council walipiga kura ya pamoja na kupitisha azimio la vikwazo vikali baada...
Tutapuuzwa kwa upuuzi wetu kitaifa
Na Ben Saanane
16 Dec 2015
WIKI iliyopita niliandika makala yenye kichwa cha habari "Rais Magufuli na Slack Management Style; Ni utekelezaji mbaya wa ilani ya Ukawa". Ndani ya makala ile nilikosoa mwenendo wa utawala mpya chini ya Rais Dk. John...
Ni utekelezaji mbaya wa Ilani ya Ukawa
NI siku 30 zimetimia hadi ninapoandika makala haya tangu Rais Dk. John Magufuli aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni wajibu wetu kama Chama Kikuu cha Upinzani (Chadema) kufanya tathmini juu ya mwelekeo wa nchi kiitikadi na kisera...
Salamu pia kwa Patrick Balisidya – kweli wema hawana maisha
"Dhamira yangu ni thabiti mno, utayari wangu kutimiza azma ya mioyo ya Watanzania na ile ya chama changu haipimiki. Hakuna gharama itakayokuwa ngumu kwangu kuilipa kwa ajili ya ukombozi wa taifa langu, ninamaanisha...
Naandika kukanusha uvumi,uzushi na ungo uliosambazwa kwamba mimi Ben Saanane na Afisa Habari wa Chama Chetu tutawatangazia mwelekeo wa msimamo wa chama kuhusiana na matokeo ya uchaguzi mkuu.
Mimi binafsi(Sitamzungumzia mwingine),Napenda kuweka kumbukumbu sawa . Sina mamlaka ya kutoa msimamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.