Benki mbona kama hakuna usalama Tena..
Hivi hiii hali ya kupoteza hela benki inatokana na nini maana mimi naona kama hii hali imezidi sasa.
Siku mmoja nimeingiziwa Benki pesa kama laki 5 hivi, wakati naenda kutoa nakuta hamna hata mia. Naenda kuuliza ndani wananiambia nimecheza michezo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.