Search results

  1. rikiboy

    sehemu na Project ya maana sana... Tanzania tulivyokuwa na Hekta za maporii ambazo hazitumiki

    Aisee nilikuwa naangalia documentary ya hili shamba la wanyama pori chato ni bonge mojaa la sehemu na Project ya maana sana... Tanzania tulivyokuwa na Hekta za maporii ambazo hazitumiki nadhani hii ni Bonge moja ya Idea hakika Magufuli alikuwa mbele ya Mudaa maana wengi waliponda sana idea yake...
  2. rikiboy

    Inakuwaje Nchi inajadili kitu kimoja Miezi 3??

    Hivi kweli hili sualaa haliwezi kufika mwisho??? Yani leo lipo mahakama hii kesho mahakama ileee tafranii tupuu..Watumie tu ubabe bhasii waliopewaa Mkataba waanze kazi kwa lazimaa maana huu ni ujingaa sasaaa kila siku habari ndo hizo hizooo hakuna kingine cha Manaa. Hapo bandarini sidhani hata...
  3. rikiboy

    Mlifanya nini baada ya mzazi kuwa anatumia pensheni yake vibaya?

    Ndugu zangu najua baadhi yetu mna experience namna ya kuishi na mzazi aliepata Pensheni alafu akawa na matumizi ambayo unaona sio sahihi lakini sasa changamoto hela ni zake. Je, kama familia mlifanya nini? Je, ilisaidia na kuleta matokeo mazuri maana unaweza jikuta unagombaa na mzazi mwisho wa...
  4. rikiboy

    Nani anamdai Marehemu Lemutuz?

    Katika jambo ambalo naona haliko sawa hadi leo ni suala la Kuanza kutaja madeni ya marehemu msibani kama kuna mtu anamdai why asiifate familia kumtunzia heshima marehemu? Kwenye msiba wa Lemutuz yule Pinto anasema nyumba aliyokuwa anaishi lemutuz ni yake hata Gari noah alimuazima sio ya...
  5. rikiboy

    Migos kundi bora la hip-hop

    Aisee baada ya kifo cha TAKE OFF sijui kama kundi litaendelea kuhit..kifo cha jamaa kimetikisa sana yani bado najiuliza why niggaz wanauana sana huko USA?? ukisikiliza album kama CULTURE III ndo utajua migos ni mafundi sana yani flow zimekaa mahala pake. Hadi sasa sijaona kundi lenye ngoma kali...
  6. rikiboy

    Freezer linauzwa Kimara Mwisho

    Freezer kampuni ya BRUM ujazo litre 201 kugandisha ni chap chap umeme linatumia kama halitaki. Bei ni laki 4 KAMILI...
  7. rikiboy

    Uzi wa Kutupia Screenshot za Vibomu

    Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kutupia screenshot tu za namna dada zetu wanatupanga ili watupige mizinga kwa kutumia Visingizio mbali mbali ambavyo havipo kabisaa..[emoji3][emoji3][emoji3] kama naumwa..nitumie nauli alafu haji..mama anaumwa au nimepata safari ya ghafla nina matatizo...
  8. rikiboy

    Kumuacha binti kisa analazimisha ndoa

    Katika maisha ya mahusiano ya Kijana kuna changamoto nyingi sana lakini Kiukweli kudate na Binti ambaye anahitaji sana ndoa ni shida sana sijui kama ni sahihi Kumuacha Binti uliyedumu naye karibu miaka 3 kisa tu anakomaa mfunge ndoa na kumtolea mahari wakati wewe haupo tayari?
  9. rikiboy

    Nahitaji kibanda cha MPesa

    Wakuu nahitaji kibanda cha Mpesa kiwe cha chuma au mbao kisizidi LAKI 2. NIPO DARESALAAM.
  10. rikiboy

    Tukio la mauaji ya Polisi eneo la Selander si bahati mbaya

    Leo kumetokea tukio baya sana kwa Usalama wa nchi yetu labda ni tukio baya sana kuwahi kushuhudiwa toka matukio ya enzi za Mauaji ya KIBITI yaliyolikumba nchi yetu enzi zile za Rais Magufuli sijui nini maana yake lakini Hii sio bahati mbaya.. yes sio bahati mbaya! Habari za kuuliwa polisi watatu...
  11. rikiboy

    Samsung 12 ni kiboko

    Leo nilikuwa maeneo flani nikakutana na Rafiki angu akawa amenipa simu yake niandike namba yangu lakini nikasema sio mbaya niangalie property za simu ofcourse CAMERA yake ni kali sana... Storage ya kutosha lakini kwenye betry ndo nilichoka yani simu ina 60% lakini inaandika 1DAY mpaka iishe...
  12. rikiboy

    Kama huna hela usiombe namba

    Aisee ni balaa namba tatu zote nilizoomba nimepiga hesabu nikisema niwape hela walizoniomba ni kama Laki Moja inapukutikaa chap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani hakuna cha mke wa mtu wala nini wote wanalia njaaaa mara sijui vikoba sijui naumwaa khaa acha nibaki njia kuu kwa...
  13. rikiboy

    Maneno gani ya dharua uliambiwa yakakuumiza sana

    Mimi aliniomba 100K aongeze kwenye kodi wakati me mwenyewe kodi jau enzi za chuo hizo nikamwambia asubiri nipate boom. Akasema mwanaume wa kutegemea boom nae mwanaume sasa[emoji24][emoji24][emoji24] Kitu gani cha dharau alichowahi kukwambia babe wako alipokuomba hela ukasema huna?
  14. rikiboy

    Simba msijidanganye

    Toka jana kumekuwa na Mjadala mzito sana kuhusiana na Bil. 20 ambazo MO alitakiwa awe amezitoa tokana na kuchukua 49% ya hisa za Simba lakini hili Jambo SIASA imetawalaa kuliko uhalisiaa na ndo hapo nasema "Maskini Akipata Matacco mbwata" sasa wana simba wamejisahau sana na kuona mambo ni...
  15. rikiboy

    Fireboy new album

    Aiseee kuna watu wanajua sanaa ila FIREBOY ni moja wa wasaniii wakali sana kwa sasa Nigeria huwezi ongea kuhusu mziki ukamuacha huyu mwambaa... Ametoa album mpya inaitwaa APOLLO baada ya LTG iliyofanya vizuri sana ikiwa na nyimbo kali kama VIBRATION...NEED YOU..ENERGY..WAIT N SEE. Kiufupi kwa...
  16. rikiboy

    Je, utachukua uamuzi gani?

    Jamani habari wakuu, Natumaini mpo poa kuna jambo nataka kujua kutoka kwenu hasa kwa wale wanaume wenzangu mliopatwa na jambo kama hili. Hivi ikitokea umezaa na mwanamke flani mtoto na mmedumu kwa miaka kama mitatu hivi japo wewe hujajipanga bado kimaisha hata kazi official hujapata still una...
  17. rikiboy

    Je, ajiunge na SACCOSS apate mkopo au achukue mkopo BANK?

    Kuna ndugu yangu anataka kuchukua mkopo. Sasa anaomba ushauri je, ajiunge na SACCOSS apate mkopo au achukue mkopo BANK? Ni mkopo kama milioni 5 hivi Please ushuari wako muhimu sana ======= ========
  18. rikiboy

    Startimes Mnatuchukuliaje?

    Kuna majibu ukipewa baada ya Kuuliza maswali flani unaweza ukahisi aliekujibu ana Utindio wa ubongo au kakuona wewe fala sanaa... Jana nilitaka Kulipa lifurushi cha startimes sasa nikawapigia kuuliza juu ya Uwepo wa channel ya Wanyama NGW na FOX. Eti kadada kakaniambia kweli hizo channel hazipo...
  19. rikiboy

    Utapeli wa Mwendokasi

    Hakuna kitu kinakera kwenye Maisha kama Kijana kutumia ujuzi mdogo ulionao kwenye Jambo fulani KUTAPELIII vijana wenzako wanaotafuta pesa zao kwa jasho au pengine kupewa na familia zao..!! Kuna kijana ameweka tangazo kuwa anatoa elimu ya Kuweza kukuza 120000 kwa mwezi izae Mil 100, alafu vijana...
  20. rikiboy

    House4Rent Nahitaji Nyumba

    Nahitaji nyumba ya Kupanga Iwepo maeneo ya kimara yani kuanzia kimara mwisho kurudi maeneo ya town kwa maana ndani njia ya mwendokasi. Iwe na vyumba viwili kimojawapo masters..maji na umeme wa kujitegemea..jiko na sebule! Kwa LAKI MBILI. kama unayo nipm.
Back
Top Bottom