Search results

  1. Lipijema

    LGE2024 TAMISEMI: Wananchi 26,769,995 wamejiandikisha katika Daftari la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hadi kufikia Oktoba 19, 2024

    Uongo mtupu, kitongoji chetu tuna takriba watu elf 6+ lakini hawawezi kufika hata watu kumi waliojiandikisha.
  2. Lipijema

    Kuelekea 2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

    Watanganyika wengi wetu ni waoga sana, ingewezekana ingekuwa poa sana.
  3. Lipijema

    Kuelekea 2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

    Watanganyika wengi wetu ni waoga sana, ingewezekana ingekuwa poa sana.
  4. Lipijema

    Ifahamike kwamba ya 23 Septemba ni Maandamano ya Maombolezo

    Ni budi tuzuie ma uaji haya, pamoja sana tupaze sauti zetu.
  5. Lipijema

    Mpaka leo, wapo wanaoamini Tundu Lissu alishambuliwa na vikosi vya Serikali awamu ya tano, na wapo wanaoamini ni mchezo wa CHADEMA kufitinisha utawala

    Ni wazi shambulio hili lilifanywa na Serikali ya jiwe na watendaji wake wa kikosi kazi, hili jambo jiwe na bashite hawana pa kutokea. Wallah naapa haya mambo ya mauaji ya jiwe ndiyo yaliyomharibia cv yake ya uongozi ktk Afrika na dunia nzima, vinginevyo angekuwa kiongozi wa kupigiwa mfano.
  6. Lipijema

    Makonda aomba kupangiwa kazi nyingine Januari 2025

    Nimeanza kumwelewa Makonda.
  7. Lipijema

    Barua ya wazi kwa RC Paul Makonda

    Ukweli nimeanza kumuelewa Makonda.
  8. Lipijema

    Samsung A54

    Hii niliyonayo ni: A51, betri yake ndiyo mtihani.
  9. Lipijema

    Ujumbe wa Lissu kwenda kwa Wajumbe kamati kuu huu hapa

    Ujumbe mzuri wa kujenga, asante.
  10. Lipijema

    FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

    Mashujaa wanakosa, Simba wanapat pernati ya pili. Mashujaa wanapata pernat ya kwanza.
  11. Lipijema

    FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

    Watagogwa tu, pamoja na tunguli zao! Walisema kutangulia si kufika.
  12. Lipijema

    Nape: 78% ya Watanzania wanasikiliza Redio tofauti na mitandao ambayo Watumiaji ni 10% tu. Mitandaoni kuna mambo Mengi yasiyofaa, tumia Redio

    Si kweli, tulikuwa wengi wetu twatumia mitandao hii ya kijamii, hatuzitaki hizo radio zao kwa sababu: radio zote zinafuata matakwa ya Serikali na chama chao. Ukweli hizo radio hazitufai kabisa.
  13. Lipijema

    Tanzania kuna sheria inaruhusu au kukataza binadamu kumwita mwenzake KAFIRI?

    Kafir ni mtu anayemshirikisha Mungu zaidi ya Mungu mmoja (Allah)
Back
Top Bottom