Tanzania ni miongoni mwa nchi ambayo ukishafikisha miaka 60 basi unatakiwa uachane na ajira serikalini. Mfumo huu umeendeshwa kwa muda mrefu tu. Ni kweli ulikiwa mfumo mzuri katika kipindi kile...
Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "Stories of Change". Ni tumaini langu wote ni wazima.
Andiko hili litaangazia maisha ya vijana wahitimu wa vyuo waliotegemea kuajiriwa na...
Hivi ni kwanini ndoa nyingi siku hizi zinavunjika? Yaani unakuta watu wameoana haipiti hata miaka miwili unasikia wameachana.
Mfano ni ndoa ya wasanii wetu wa Tanzania , kama Ndoa ya Ali Salehe...
Utangulizi
Dira kwa maana fupi ni muelekeo. Dira ya Maendeleo ya Tanzania (Tanzania Development Vision (TDV) 2025 ilianzishwa mwaka 1994 na kuzinduliwa rasmi mwaka 1999 ambapo utekelezaji wake...
INTRODUCTION
On budget transparency campaign to call for more participatory planning within the Tanzania national budget the responsible authority believes that majority of people understand the...
`Kuna mtu hapa Jamii Forum alielezea kisa chake na kwamba anaweza kujifungia ndani akiangalia video za ngono huku akipiga punyeto kwa masaa hata 12. Kuna watu walifikiri hii ni “chai” (uongo)...
Uraibu upo wa aina nyingi. Kuna uraibu wa pombe, sigara, madawa ya kulevya, na uraibu wa chakula. Leo nitajikita kwenye uraibu wa ngono.
Tofauti na uraibu wa pombe, sigara na madawa ya kulevya...
Internet ni mfumo wa dunia wa kielektroniki unaounganisha kompyuta na vifaa vyengine vya kielektroniki vinavyokubali mfumo huo.
Mitandao ya kijamii ni teknolojia inayohusisha kompyuta ambayo...
Muhtasari
kulingana na kukua kwa takwimu za vifo vitokanavyo na wivu wa mapenzi, Andiko hii imeangazia kwa undani juu ya asili ya wivu, uhusiano uliopo kati ya wivu na mapenzi, namna wivu unaleta...
Kisheria mtu anahesabiwa kuwa ni mtu mwenye haki mpaka pale ambapo mahakama ita thibitisha kuwa huyu mtuhumiwa amefanya kweli hayo makosa anayoshutumiwa kufanya.
Na kama mtu ambaye ametuhumiwa...
Kwa kipindi cha hivi karibuni, tatizo la ajira limepelekea mlengo wa ujasiriamali kuwa ndio habari ya mjini. Tumesikia maneno ya hamasa kwa vijana kuingia kwenye shughuli za kijasiriamali toka kwa...
Habari hivi ulishawahi kujiuliza ni kwanini vijana wengi wanaona maisha magumu sana katika karne hii ya 21? Majibu yote yapo hapa kwa kiasi chake.
Kwa kawaida kijana anahesabika kuanzia umri wa...
Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira!
Kwaweli nilikosa jibu kwa muda...
Ukisoma chapisho la Profesa wa uchumi, ndg George Akerlof, lijulikanalo kama 'market for lemons' utaona anavyofafanua juu ya ugumu wa kupata gari bora pale unaponunua gari lililotumika hasa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Nianze na angalizo kuhusu andiko langu hili kuwa sio la kielemu wala kitaalam ni mawazo yangu binafsi ninavyotamani kuona kama yanaweza...
Hivi sasa watanzania tulio wengi majina yetu hayana asili yoyote ya Tanzania, sana sana tumebakisha majina ya mwisho kuwa ya asili na yale ya mwanzo kuwa ya Kizungu ama Kiarabu. Mfano mzuri ni...
Uwepo wa kila kilichopo semehu kilipo ni matokeo ya muunganiko wa mihimili kadhaa. Hivyo hivyo maisha ya binadamu katika hii dunia yanayo mihimili yake, moja kati ya mhimili wa mhimu katika haya...
Habari wanajukwaa;
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa afya na wakati mwema Kama huu,ili niweze kutoa upako wa kweli kuhusu hatma ya wanafunzi waliomaliza KIDATO cha 6 kuhusu nini cha...
Tangazo la tamthilia ya Sultan toka Uturuki
MWAKA 2010 nilifanya mawasiliano na kampuni ya Sony Pictures yenye makao yake Los Angeles (Culver City) nchini Marekani. Sony Pictures ni kampuni kubwa...
Watoto wanaanza darasa la kwanza na wakifika darasa la nne tu mtihani wa taifa huu hapa. Huyu mtoto mdogo unamuekea akilini kwamba shuleni hajaja kujifunza bali amekuja kufaulu mtihani tu. Elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.