Recent content by Tlaatlaah

  1. Tlaatlaah

    Nondo amvaa Khamis Mobeto kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kongole Azam

    nashukuru sana maelezo yako yanaonyesha dhahiri shahiri unaelewa kinagaubaga mambo ya kidemokrasia, mimefurahi sana..... hayo mawaidha nayo si mabaya, na yanafahamika bayana kwamba nafasi hizi ni za wanainchi, na kinachofanyika ni kuskiza wanainchi na kufanyia kazi maoni yao, sio kuskiza...
  2. Tlaatlaah

    Hivi hili ni ubinafsi uliopitiliza au tuitaje? Lipo sana kwa wachungaji na wanasiasa

    kutetea mambo ya aibu na fedheha kama vile ombaomba, ushoga n.k ni kazi sana aise daah :pedroP:
  3. Tlaatlaah

    Mwenye ushawishi mkubwa kisiasa CHADEMA

    Mwenyez Mungu Akubariki sana gentleman :BASED:
  4. Tlaatlaah

    Mwenye ushawishi mkubwa kisiasa CHADEMA

    huo si uzi kamili kabisa kamanda? udevelope tu kidogo uwe na mantik then tafuta platfom tujadili... back to the main motion on the table, bonestly, ni yupi mwanasiasa mwenye ushawishi kumzidi mwingine pale chadema kwa mfano?
  5. Tlaatlaah

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha aanza ziara ya siku tatu wilayani Longido

    well done gentleman kila la kheri RC comrade P.C. MAKONDA :KasugaYeah:
  6. Tlaatlaah

    Hivi hili ni ubinafsi uliopitiliza au tuitaje? Lipo sana kwa wachungaji na wanasiasa

    tena unakuta anae omba achangiwe ana afya njema, akili timamu, ana uwezo na nguvu kabisa za kufanya kazi.... mi nadhani, msingi wake ni malezi, mazoea na tabia mbaya wanazo endekeza baadhi ya wana siasa na hao wa huko kwa maombezi ambao ni wa binafsi sana na wanajiona wao ni special than...
  7. Tlaatlaah

    Nondo amvaa Khamis Mobeto kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kongole Azam

    umekwamia hapo kamanda, pumzi kisoda sio kwenye ukweli na uwazi :DisGonBGud:
  8. Tlaatlaah

    Nondo amvaa Khamis Mobeto kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kongole Azam

    zoezi linakwenda kwa utaratibu kamanda, sio kwa kukurupuka wala muujiza, ni halisi kabisa, litafanyika mchana kweupe bila chenga na punde litaanza rasmi maeneo yote nchini :BASED:
  9. Tlaatlaah

    Nondo amvaa Khamis Mobeto kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kongole Azam

    ukweli daima kwa uwazi bila kificho:pedroP:
  10. Tlaatlaah

    Nondo amvaa Khamis Mobeto kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kongole Azam

    kama wewe umeona sio sawa umeskizwa, lakini wale wengine hususan wabunge waliyo wengi wameona ni sawa. si ndio demokrasia hiyo, au kwa vile umeona wewe si sawa na wengine nao waone kama wewe, right?
  11. Tlaatlaah

    Nondo amvaa Khamis Mobeto kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kongole Azam

    ni maoni ya waTanzania, ikionekana inafaa kubadilishwa wanainchi wataamua pia, na ndio mambo ya kisheria yalivyo:BASED:
  12. Tlaatlaah

    Nondo amvaa Khamis Mobeto kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kongole Azam

    huo ni upotofu, taasisi hizi ni za umma, na si mali ya mtu binafsi au watu fulani pekee. .... ni mali huru za waTabzania wote na zinafanya kazi kwa mujibu wa sheria na katiba ya waTanzania :spandauB:
  13. Tlaatlaah

    Nondo amvaa Khamis Mobeto kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kongole Azam

    maoni yako ni yako, ni maoni yako mwenyewe tu, na ni haki yako ya msingi, lazima yaheshimiwe sana, lakini hayawezi kuzuia au kubadili ukweli kwamba bunge la Tanzania linatekeleza wajubu wake muhimu saba, kazi zake nzito sana, na majukumu nyeti sana kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, kwa...
  14. Tlaatlaah

    Nondo amvaa Khamis Mobeto kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kongole Azam

    Yes, wote wenye shida ya utimamu na walioaga dunia wote wataondolewa :whatBlink:
Back
Top Bottom