Search results

  1. Tlaatlaah

    Tuzikatae propaganda za wanaccm, wanazodai kuwa watanzania chini ya asilimia 5 ndiyo wanaolipa kodi nchini!

    niwe hivyo mara ngapi sasa ๐Ÿ’ taarifa ya serikali ni sahihi, wasio lipa kodi ni wengi ukilinganisha na wanao lipa kodi. Na hii ni kutokana na aidha uelewa mdogo juu ya masuala ya kodi, kukwepa kulipa kodi kwa kujua au kutokujua, kutokufahamu jinsi ya kulipa kodi, na sababu nyingine zinazofanana...
  2. Tlaatlaah

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Yes, ni dhahiri hata joto la kisiasa limeongezeka ukali kidogo, wageni vya wenyeji na wageni ambao nao wanadai ni wakaaji wa huku vijijini ni wengi sana, na kwakweli kumechangamka haswaa, na kidogo hata wanaichi wanapata kakitu kidogo ๐Ÿ’
  3. Tlaatlaah

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    kwahiyo wew upo upo tyuuuu humu ndani, right ๐Ÿ’ jiandae serikali za mitaa sawa?
  4. Tlaatlaah

    Choicevariable

    political scientist anakuvuruga sana eee ๐Ÿ’ a man in a mission kwa taratibu na kwa upole utamuelewa but kwa pupa au force, u can't , politically speaking ๐Ÿ’
  5. Tlaatlaah

    Balozi wa Marekani Tanzania Bwana Battle Amemwaga Sifa Kwa Rais Samia Kwa Kuimarisha Demokrasia na Uhuru.Wafuasi wa Chadema Wamcharukia.

    unaelewa CDM wanapata uchungu na kuumia zaidi pale ambapo, mikutano imeruhisiwa ,Rais anasifiwa dunia nzima kwa kuimarisha na kuchochea demokrasia nchini, halafu CDM ukata wa fedha na nyenzo za kuwawezesha kufanya mikutano ya hadhara ndio imewatembelea in full capacity na kutia kambi kabisaa...
  6. Tlaatlaah

    Majina ya Walioteuliwa kugombea Uenyekiti wa Kanda za CHADEMA yaanza kuwekwa hadharani

    huyu anafahamika ni chuma cha mkono wa mwamba wa kaskazini ambae inafahamika bayana hata mtoa hoja unamkubali kiana huyo mwamba au sio ๐Ÿ’ hapo tunaenda kukamilisha ratiba tu kama Yanga Africa NBC Premier league ๐Ÿ’
  7. Tlaatlaah

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    sina haja kuzingatia uamuzi wako kwa manufaa yako mwenyewe ๐Ÿ’
  8. Tlaatlaah

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    mambo ya kishirikina staki kabisaa bora hawa wanainchi ambao wananipenda sana na mimi nawafanyia kazi yao ya maendeleo vizur na kwa bidii sana, waniambe sasa mh.tafuta kazi ingine ๐Ÿ’ hata hiyo, Mungu ni mwema sana kati yangu na wanainchi, daima tunaambatana na kuandamana pamoja katika kila hatua...
  9. Tlaatlaah

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    kufanya kazi kwa stress, ama kufanya kazi bila stress au kutokufanya kazi kabisaa ni uamuzi binafsi wa mtu, kulingana na alivyopiama manufaa na hasara ya atakachoaamua kukifanya. Hakuna haja ya ushauri, life forces na life realities zitakusukuma tu uamue mwenyewe ๐Ÿ’ Muhimu ni kuondoa hofu na...
  10. Tlaatlaah

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    acha upotoshaji, polisi wa kweli mzalendo jasiri hawezi lia hovyo hata siku moja labda wa mchongo ๐Ÿ’
  11. Tlaatlaah

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    watumishi wachapakazi hodari nchi nzima, wameafiki kikokotoo hiki kwa mujibu wa Sheria. Na ndio maana wako na bidii na ari zaidi ya kufanya kazi ya umma na kuwatumikia wanainchi ๐Ÿ’ hata jimboni pangu wapo wastaafu wanainjoy sana kiinua mgongo chao baada ya kustaafu majuzi kwa kikokotoo hiki hiki...
  12. Tlaatlaah

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    kama makamanda wa CDM huwa wanacontrol mihemko yako kwenye kuporomosha matusi ya nguvu tu, baada ya kukurupushwa kwa hoja nzito nzito kutoka kwa vijana makini sana wa kazi wa CCM ๐Ÿ’
  13. Tlaatlaah

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    hapana kuzuia mtu kufanya kazi ya kutetea au kupinga jambo fulani, hiyo ni haki na Uhuru wa kila mTanzania ๐Ÿ’ ile ya maana zaidi ni kuona kwamba unaona kabisaa, kitu kinakupa stress lakini unakomaa na kung'ang'ana nacho kama huna utimamu wa akili vile, na matokeo yake wengine mpaka wanaishia...
  14. Tlaatlaah

    Rais Samia afanikisha kupatikana Kwa TSHS.Trilioni 6 za Nishati ya Kupikia. Rais wa Benki ya AfDB Asema ni Kiongozi wa Mfano

    dawa ya hayo yote ni kuzidisha juhudi katika kufanya kazi ๐Ÿ’
  15. Tlaatlaah

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    sasa kama una akili timamu si utumie hiyo akili timamu yako kufanya kazi nzuri ikupendezayo , unang'ang'ana na hiyo kazi ambayo mwishowe kuna ya kikokotoo kwa nini sasa. .... ni useless kabisaa, uvivu na uwoga tu wa maisha ๐Ÿ’ unababaika na kufedheheshwa kikokotoo kwanini sasa? Unaanza kazi na...
  16. Tlaatlaah

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    unadhani hata shida ya huyo muungwana ni Mtaka basi, hicho ni kivuli tu, uchungu na gubu zake zote ni kuhusu hicho chama tu ๐Ÿ’
  17. Tlaatlaah

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    namuonea huruma kiongozi wenu kibaraka, naskia anaomba achangiwe gari tena ๐Ÿคฃ
  18. Tlaatlaah

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    relax and be free to call me whenever names or rubbish, but I must tell the truth to the public .... na unajua kweli ni chungu, ikikuzidi ndio hivyo tena lazima uteme nyongo na kuyaporomosha kwa mpangilio kama ambavyo umeanza kwa kishindo ๐Ÿ’
  19. Tlaatlaah

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    I think that quote deserves to the citizens most west Africa Countries and not our beautiful land of Tanzania ๐Ÿ’
Back
Top Bottom