Baadhi ya hospital binafsi zimeshaweka matangazo kama yanavyosomeka hapo juu
Nini sulihisho la hili?tiririka ili serikali ipate madini na kuyafanyia kazi inawezekana kabisa hawajui nini cha kufanya kunusuru hilo suala nyeti la afya.
Kina nani wana ujinga ujinga?????binadamu bwana hivi hàmjui hata mtu akifa inabidi kusheherekea kama sherehe nyingine za kuzaliwa na kuoa au kuolewa.
Unaposema ujinga ujinga unamanisha nini?????
Hii ni dharau kubwa sana kwa Chadema yani maandamano yameruhusiwa lakini yamejaa dharau kwamba andamaneni lakini hatubadilishi chochote yaleyale utaongea mchana we usiku utanyamanza na kulala😁😁😁😁
Chadema mmechambwa in a way...poleni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.