Recent content by Rs MI

  1. R

    SoC03 Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    Asanteni sana wanaJF wote mliopitia andiko hili na kupigia kura zilizosaidia andiko hili kushika nafasi ya pili. Ushindi huu ni wetu sote.
  2. R

    Uchambuzi Yakinifu: Bila chuki wala kuweka utaifa mbele Khaligraph jones katisha sana

    Kaligraph kuwadisi marapa wa kibongo hastahili hata kidogo japo anajua ila kuna nyimbo zake za ovyo sana.
  3. R

    Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

    Utaletewa mkuu, vipo ila afya yake nadhani itakua ya ovyo sana.
  4. R

    SoC03 Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    Ni kweli itasaidia kuongera usiri kwenye taarifa za musika
  5. R

    Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Maumivu ya mtoto wa kiume kuona mama yake anachepuka yanaweza kuzidi hata maumivu ya kusalitiwa na mke wake atakapooa, kwakua mke anaweza kumtimua ila mama hataweza kumtimua na kumuambia mzee wake atahofia kuleta mgogoro kwenye familia. Kikubwa ukikubali kuolewa tulia, kama unajua huwezi...
  6. R

  7. R

    SoC03 Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    Chini kabisa mwa andiko upande wa kulia kuna alama ya ^ unaigusa. Ila kwenye app haipo Mkuu.
  8. R

    SoC03 Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    Kikubwa kuwepo na usimamizi mzuri tu Mkuu
Back
Top Bottom