Recent content by Rare Sapphire

  1. R

    Magari ya kuzoa takataka na yenyewe ni takataka, yanafanya nini barabarani?

    Hazitakiwi kuwa barabarani, zinaweza kuleta majanga majanga kibao, hazina viwango tena vya kuendelea kutembea barabarani
  2. R

    Magari ya kuzoa takataka na yenyewe ni takataka, yanafanya nini barabarani?

    Ni muhimu kudai uwajibikaji, kama wanavyowashika wananchi na wao wawajibike hivyo hivyo
  3. R

    Maxence Melo: Kiongozi ukishakuwa kwenye ofisi ya umma kukosolewa ni haki yako

    Kabisa Mkuu, hakuna njia nyingine, kwakuwa umeamua kuongoza huwezi kukwepa kukosolewa kama tunaona huleti kile tumekutuma kufanya
  4. R

    Maxence Melo: Kiongozi ukishakuwa kwenye ofisi ya umma kukosolewa ni haki yako

    Fuatilia mahojiano yanayoendelea wakati huu Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo akizungumza kuhusu Matumizi salama ya mitandao ya kijamii. https://www.youtube.com/live/E13SKGnMr04?si=34HbpimcB7Avgfn- Matukio ya wananchi kukamatwa sababu ya kumkosoa kiongozi fulani, hii imekaaje...
  5. R

    Magari ya kuzoa takataka na yenyewe ni takataka, yanafanya nini barabarani?

    Wakubwa ndio wana ruhusa ya kuletea vitu vibovu na sisi tunakaa kimya tu?!🧐🧐
  6. R

    Magari ya kuzoa takataka na yenyewe ni takataka, yanafanya nini barabarani?

    Kazi kwelikweli, hizi skrepa hazitakiwi kuwa barabarani kabisa
  7. R

    Magari ya kuzoa takataka na yenyewe ni takataka, yanafanya nini barabarani?

    Wakuu salama? Hivi umeshawahi kukutana na gari la kuzoa taka lenye hali nzuri? Magari yote ambayo nimewahi kukutana nayo yanakuwa yameisha, yana hali mbaya, kutu kila pahala, yametoka, na yanajikokota kwelikweli kutoka eneo moja kwenda eneo jingine! Kwanini magari haya yanaruhusiwa kufanya...
  8. R

    Ni wajibu wa TANESCO kutoa fidia pale Tatizo la Umeme linaposababisha hasara, umewahi kudai fidia hiyo?

    Watu hamjitokezi kudai, mpaka imekuwa tabia kitu kikiungua sababu ya TANESCO basi unakufa nalo
  9. R

    Ni wajibu wa TANESCO kutoa fidia pale Tatizo la Umeme linaposababisha hasara, umewahi kudai fidia hiyo?

    Wakuu kwema? Kulingana na Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa TANESCO, mteja ukipata hasara kutokana tatizo la umeme, TANESCO inatakiwa kumfidia mteja huyo. Kipengele hiki kinasema; "Kuwafidia wateja pale ambapo tatizo la umeme limesababisha uharibifu wa mali baada ya kuwa imehakikishwa kwamba...
  10. R

    Hungary: Rais ajiuzulu kwa kumpa msamaha mtu aliyehusishwa na kesi ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto

    Rais wa Hungary, Katalin Novak, mshirika wa karibu wa Waziri Mkuu, Viktor Orban, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo kutokana na hasira ya umma juu ya msamaha uliotolewa kwa mtu aliyehusishwa na kesi ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto. Muda mfupi baadaye mfuasi mwingine wa Orban, waziri wa...
Back
Top Bottom