Recent content by onike kaponko

  1. onike kaponko

    Biashara ya nguo za watoto

    Nimejipanga vizur kabisa
  2. onike kaponko

    Biashara ya nguo za watoto

    Naombeni ushauri nahitaji kufungua kampuni ya kuuza nguo za watoto kutoka china na uturuki me na ke kuanzia miaka 2-15 niwe nauzia Wafanyabiashara wakubwa na wadogo vipi kuhusu soko hilo la nguo kwa tanzania
  3. onike kaponko

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mwenye connection ya kufungua company ya nguo za watoto jinsia zote me na ke kuanzia miaka 2-15
  4. onike kaponko

    Biashara ya kuagiza bidhaa

    Nahitaji kuagiza nguo china nisaidie utaratibu ukoje unatakiwa uwe na mtaji kiasi gani
Back
Top Bottom