Recent content by moja mbili tatu

  1. moja mbili tatu

    Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

    Mishangazi lazima Iwe minene...halafua ina gari ...ili niwe naendesha yani kama ile inaimbaga taarabu...
  2. moja mbili tatu

    Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

    Wakuu, unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana, halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya. Hapa mi namaanisha mishangazi ya kuanzia miaka 45 na kuendelea.
  3. moja mbili tatu

    Kwanini Diamond platnumz anajitenga sana na wasanii wenzie

    Embu fafanua tuelewe kidogo...anajitengaje?
  4. moja mbili tatu

    Tuoneshe asili/maana ya ID yako kwa video au picha, ya kwangu ni hii

    wachezaji simba huwezi kusema ni wabaya ...pale simba tatizo uongozi Haya we niambie !..:ayub lacked,che Malone,ngoma,na onana je?Hawa wabaya?tarehe 20 tukifungwa tutahakikisha viongozi hamtoki uwanjani
  5. moja mbili tatu

    Ramadhan Special Thread

    Wakuu...Idi lini?
  6. moja mbili tatu

    Siri ya Mungu mwenye wivu; kwanini Mungu kuwachukua mapema wale tunaowasifu na kuwategemea kupitiliza?

    Hilo ni kweli kabisa...ukitegemewa Sana unakufa mapema...Mimi saivi sitaki kabisa mambo ya kutoa misaada
  7. moja mbili tatu

    Singularity microfinance

    Wakuu..Hawa jamaa wa mkopo fasta wananidai balaa...kwa namna wanavonidai ningekuwa na hela ningewapa nimalizane nao waache kunitumia jumbe za vitisho na simu,..imefikia wakati wanataka kuwatumia ujumbe watu wangu wote wa kwenye phenebook yangu..walinipa 15000 saivi wananidai 21000. Nimejaribu...
  8. moja mbili tatu

    Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

    Mungu amsaidie...inawezekana pombe ikawa imechangia
  9. moja mbili tatu

    Fichua mashimo

    Napenda kufichua shimo ninalo lifahamu kwa takribani miezi miwili sasa, nikiwa na lengo la kuwapa taarifa wahusika wa kurekebisha miundombinu...pili kwa watumiaji wa vyombo vya moto. Kuna shimo lipo nyuma ya chuo cha ustawi wa jamii Sinza...ukiwa unatokea Makumbusho unaelekea Mwenge Kuna...
  10. moja mbili tatu

    Shobo zangu zimenitia aibu, kuna wadada wana maringo sana

    Umenikumbasha mbali Sana...wakati tunasoma nikiwa kidato Cha nne,nakumbuka Kuna Binti alikuwa msomali..yule manzi alikuwa ni pisi haswa..sasa sikujua ilikuwaje siku Ile ...tulikuwa tumetoka likizo Sasa Ile wanafunzi tumekutana shule zishafunguliwa...bhasi Ile tumeonana tu alikuja spidi...
Back
Top Bottom