Kupambana na mafisadi, wazurumaji siyo rahisi kabisa!!
Kijana anahitaji maombi. Tumuombee, maana roho yake ameiweka rejani.
Mungu awe na Ndugu Makonda.
Kwani Mpwayungu Village anaposema ualimi au kuwa mwalimu Tanzania ni laana huwa mnamshambilia kwa kuongozwa na hisia.
Inafahamika hii ni Nchi ya maiti. Maana katika hali ya kawaida haiingii hakilini, kwamba kujua kisoma na kuandika ni zaidi ya mtaaramu anaye andaa injini ya Taifa.
Walimu ndiyo kada pekee inayo dharaulika, kupunjwa, kuminywa haki za msingi, kutumikishwa kwa malipo duni, isiyo heshimika na serikali.
Ndiyo kada pekee yenye kutukanwa, kuagizwa na kufokewa na kila kiongozi hata kiongozi wa mtaaa.
Mshahara alio anza nao 2014 anaambulia nyongeza ya 130,000/=...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.