Search results

  1. maneka

    "Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida, sasa nimeona ukali wake" Mtumishi aliyeambulia 10M baada ya kustaafu miaka 33 Magereza

    Nyumbu huishia kushuhudia kwa macho bila kusema wala kufanya juhudi za kuokoa mwenzao anapoliwa na Simba.
  2. maneka

    KERO Wahusika wa Sekta ya Elimu muwahurumie watu wa hali ya chini kwa hii michango...

    Ualimu Tanzania ni laana, kataa ualimu, kataa laana. Walimu wamapuuzwa.
  3. maneka

    Kwanini Mh Rais hakutokea kwenye sherehe za siku ya wafanyakazi (Mei Mosi)

    Watoto wamekataliwa na Taifa/Mamlaka kwa kutoboresha maslahi ya mwalimu. Waache liwe Taifa la watu mbumbumbu.
  4. maneka

    Kwanini Mh Rais hakutokea kwenye sherehe za siku ya wafanyakazi (Mei Mosi)

    Ualimu ni kada ya hovyo kabisa, maana ndiyo yenye watumishi wanao fanya kazi ya mjomba nchini Tanzania. Kataa ualimu tz, kataa laana.
  5. maneka

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Kupambana na mafisadi, wazurumaji siyo rahisi kabisa!! Kijana anahitaji maombi. Tumuombee, maana roho yake ameiweka rejani. Mungu awe na Ndugu Makonda.
  6. maneka

    Mahakama yakubali ombi la DPP kuondoa rufaa dhidi ya Sabaya, sasa yupo huru na hana rekodi ya uhalifu

    Dunia haipendi watenda haki. Hata hivyo haiwezekani kuwashinda wenye haki. Very soon Ole Sabaya again. Most welcome sir! This is how the world is.
  7. maneka

    KERO Walimu Sekondari JM Kikwete ya Tunduma waache kulazimisha Wanafunzi kununua karanga

    Mishahara midogo ni chanzo cha cha haya matatizo. Ualimi Tanzania ni laana. Alisikika Mpwayungu Village akiongea.
  8. maneka

    Uhamiaji Wilaya ya Mwanga bila rushwa hutoboi

    Kwani walipo ambiwa wawe wanakula kwa urefu wa kamba ila wasivimbewe ilimaanisha nini? Unaweza kuwalaumu kumbe wanatekeleza agizo.
  9. maneka

    SoC03 Ili kuondoa Urasimu na Uzembe kwenye Ofisi za Umma, napendekeza Serikali ifanye yafuatayo

    Wachapa kazi watakao pewa nyongeza utakuta ni marafiki au walio mhonga bosi tena wavivu na wazembe, hayo yameonekana wakati wa opras!
  10. maneka

    Wajue hijra, ama jinsia ya tatu kutoka India

    Wakala wa shwetani kazini!!
  11. maneka

    Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    Kwa sasa hata mmoja hakuna , amini usiamini huu ndiyo ukweli.
  12. maneka

    Mstaafu anapewa milioni 17 baada ya miaka 40 mbunge millioni 17 kwa mwezi

    Kwani Mpwayungu Village anaposema ualimi au kuwa mwalimu Tanzania ni laana huwa mnamshambilia kwa kuongozwa na hisia. Inafahamika hii ni Nchi ya maiti. Maana katika hali ya kawaida haiingii hakilini, kwamba kujua kisoma na kuandika ni zaidi ya mtaaramu anaye andaa injini ya Taifa.
  13. maneka

    Serikali: Walimu 52,551 kuneemeka na upandishaji madaraja kwa njia ya mserereko

    Walimu ndiyo kada pekee inayo dharaulika, kupunjwa, kuminywa haki za msingi, kutumikishwa kwa malipo duni, isiyo heshimika na serikali. Ndiyo kada pekee yenye kutukanwa, kuagizwa na kufokewa na kila kiongozi hata kiongozi wa mtaaa. Mshahara alio anza nao 2014 anaambulia nyongeza ya 130,000/=...
  14. maneka

    Ukiona unateuliwa na Rais au Chama halafu Unahamishwa hamishwa jua una sifa hizi

    Habari ya kinoko na umbeya anayeweza kuiandika si mwingine lazima awe mwana Yanga aka Churaaaaaa.
  15. maneka

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Uko sawa sana ndugu Mpwayungu. Nahisi wote wanaokupinga siyo walimu, na kama ni walimu basi niseme mficha uchi hazai. Ni ukweli kabisa ulicho kiandika ndivyo uhalisia ulivyo. Ila unyonge huu wa walimu kuwa watiifu hata kudhurumiwa na serikali imekuwa faida kwa serikali kutimiza mambo kwa...
  16. maneka

    Michango ya wana JF kuhusu Q-Net imeniokoa nisitapeliwe Mwanza

    Nikama huwa naona tangazo lao kwenye mashindano ya mpila, yaani AFCON na Club bingwa! Au siyo wao?
  17. maneka

    Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

    Kwani viongozi wa serikali wao wanasemaje?
  18. maneka

    Mambo ni Shwari, Hakuna tena Matamko ya Pasaka kutoka kwa Wakatoliki na ACT(Umoja wa Makanisa).

    Watoe tamko juu mapadre na maaskofu kutoa baraka kwa wapenzi wa jinsi moja. Hapo ndiyo nitaamini wako silias na matamko.
Back
Top Bottom