Recent content by malantu

  1. M

    Ubadhirifu: Huu ndio Msafara wa Makonda kwenye ziara za Wilayani huko Arusha

    Amebadilisha nini, tuanzie hapo kwanza.
  2. M

    Norway imesema Itamkamata Netanyahu na waziri wake Gallant

    Jielimishe kuhusu geopolitics na diplomasia ya kimataifa. Ukifanya hivyo, hutakua ukiamini kauli nyepesi kama hizo.
  3. M

    Mambo yasababishayo wake zetu kutembea na bodaboda

    Utapata stress bure kijana. Haya mambo hayana kanuni.
  4. M

    Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

    Sasa aliyekwambia upime maji ya moto kwa kidole ni nani?:D
  5. M

    Ni jambo jema kuona hata wana CCM wamechangia Lisu apate gari; lakini pia inatufanya tuwafahamu viongozi wenye roho mbaya na chuki

    Ondoa uchafu wako hapa. Waache waliowiwa wachangie. Ishi na roho yako nyeusi uridhishe ego yako.
  6. M

    Mwanamke: Mtafute mumeo, usikae tu

    Vijana wa balehe ya kwanza utawajua kwa vinyuzi vyao.
  7. M

    Maambukizi VVU imekuwa janga, hatua kali zichukuliwe. Watu 163,131 wamekutwa na HIV mwaka 2023

    Akina nani mkuu. Hata wewe maadam unaishi na mtu, unaweza kuwa victim pia.
Back
Top Bottom