Recent content by LICHADI

  1. LICHADI

    Huwezi ukawa na Urafiki na Russia ukawa wa maana oneni Iran

    Iran juzi aligawa kamikaze kwa Russia za kumwaga ila alishindwaje kununua Helkopta za kisasa kwa Rafiki yake kipenzi kwa ajili ya Rais? Yaani kaweka urafiki na mrusi ila nyuma ya pazia anasafiri na Ndege za mmarekani za miaka ya 70 si Hatari hii, Sasa sijui kuna haja Gani ya kuwa na Urafiki na...
  2. LICHADI

    Mwendokasi wapo kama watoto

    Exactly [emoji817]
  3. LICHADI

    Mwendokasi wapo kama watoto

    Yani acha tu mtu anaendesha gari tupu kutoka kimara hadi jangwani anakimbia kulala saa 3 hii
  4. LICHADI

    Mwendokasi wapo kama watoto

    Saa tatu hii Korogwe hapa abiria wapo ila Gari zinaenda kulazwa madereva wanawahi nyumbani na abiria wapo vituoni Huu mradi unauliwa na wafanyakazi wenyewe alafu mtu anasema wanapata hasara utaachaje kupata hasara kwa mwendo huu saa tatu Dereva anaenda kulaza Gari anaacha pesa Barabarani...
  5. LICHADI

    Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    Kipindi cha mwaka 2020 kuna Ndugu zangu waliokuwa Canada walikuwa wanaagiza nguo na viatu kupitia DHL Kutoka hapa Bongo na sababu kuu walikuwa wanasma Bidhaa za Za mavazi Canada ni Ghali kupinduka kuzimudu ni ngumu wengine walivizia ndugu zao wakija Tz wanawachomekea vinguo kwenye mabegi...
Back
Top Bottom