Recent content by Kinyau

  1. Kinyau

    TANZIA Mwanachuo wa DIT afariki kwa kuanguka kutoka ghorofa ya 10

    Unenena vyema mkuu. Tuwa encourage vijana kuwa it's okay kujisikia vibaya na waombe ushauri, sio udhaifu kuwa depressed. Last week kijana mtanzania amejirisha Nairobi kwa stress za familia kumbe angeweza kuongea na washauri lakini amemezea hadi kajirusha na kuacha barua kwa wazazi wake wote. Tu...
  2. Kinyau

    TANZIA Mwanachuo wa DIT afariki kwa kuanguka kutoka ghorofa ya 10

    Kuna wimbi kubwa sana la vijana na afya ya akili. Hawa miaka 18-25. Wiki iliyopita kijana wa kitanzania anayesoma Kenya naye amejirusha kutoka ghorofa ya 15 ,akiacha barua kwa wazazi kuwa hapendi wao kuachana na mitafaruku ya familia nk. Vijana wa kuume hawawi encouraged kuongea au kuelezea...
  3. Kinyau

    Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

    Nashangaa ndugu yangu. Bado tuna safari ndefu sana ya mitazano na kuto ku judge wengine . Kila mtu ana aina yake ya kuomboleza , walishalia walishatulizwa kwanza wako kwenye shock- na yaelekea wamekuzwa in a matured manner kuweza kua bsorb mambo. Je tutasema mtu akilia kwa mayowe na kugala gala...
  4. Kinyau

    Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

    Ficha basi ushamba wakati mwingine.
  5. Kinyau

    Mavazi ya Mchungaji Tony Kapola yachunguzwe

    Kuna article imepostiwa leo inasema "Maskini wanaongoza kwa roho mbaya" nadhani ina ukweli - kwa mawazo fikra na mitazamo mgando. watu wanateseka kucontrol hadi oxygen anayovuta mtu mwingine - yani u control lifestyle ya wengine kabisa -what a boring world it will be . Sheria za nchi zimevunjwa...
  6. Kinyau

    Mavazi ya Mchungaji Tony Kapola yachunguzwe

    Its true you cant argue here, neither capable to do so- it needs a mature mind, an exposed demeanor and a wider perception to issues . Misingi ni yako- the world doesn't revolve around your beliefs and regulations- your interpretation of holy books are yours , stand on them , excel on them and...
  7. Kinyau

    Mavazi ya Mchungaji Tony Kapola yachunguzwe

    According to whose standards mkuu hebu tuelimishe
  8. Kinyau

    Mavazi ya Mchungaji Tony Kapola yachunguzwe

    Pambana kuweka misingi katika familia yako- na jibu hoja kwa hoja usitumie matusi nk ,jibu tu hoja kwa hoja- katu mwenye hekima hatumii matusi . Usiteseke na huduma za wengine -the world cant conform to your beliefs . Dunia ya leo pambana na uchoamini , ishi na misingi yako ukikomaa na...
  9. Kinyau

    Mavazi ya Mchungaji Tony Kapola yachunguzwe

    Binafsi si muumini wa kanisa lake wala wahubiri wowoe wa kisasa ila POVERTY MINDEST itatumaliza watanzania. Umeangalia TD Jakes, Joyce Meyer,Joel Osteen. Pastor Chriss walivyo smart? Au hata hauwajui Does it matter content VS mavazi na tunaongelea mavazi ya umri wake kama kijana hajavaa kata...
  10. Kinyau

    International Schools zina nini cha zaidi?

    Sio tu kukosa visa na kupenda kuishi in "victim mentality" kila kitu kuhisi uanonewa unanyanyaswa unasemwa - yani binafsi nasema umaskini hasa umaskini wa fikra ni mbaya sana kuliko uchawi.
  11. Kinyau

    International Schools zina nini cha zaidi?

    Nadhani umaskini hasa wa fikra unaleta makasiriko sana kwenye maisha , maana mleta mada hata kwa swali lake tayari ameshaonyesha bias . Anyways - hakuna formula kuwa aliyesoma NECTA Vs aliyesoma International schools ni lazima mmoja awe bora au asiwe bora. Kuna factora nyingi sana - na tumeona...
  12. Kinyau

    Natafuta lodge au hoteli nzuri ya kukaa na familia Bagamoyo kwa wiki moja

    Why do we assume kila mtu ana ndugu kijijini? Wengine 3rd generation wote wako mjini, halafu normalize kuona watu wanaspend time watakavyo hebu tuwe open minded
  13. Kinyau

    Hivi kuna gharama za uhamisho kwa mtoto wa Shule ya Msingi?

    Kabisa mkuu. Kwanza mfungua uzi alipaswa awe na kugha nzuri kwa mwalimu husika angepewa maelekezo yote muhimu. Uzuri wa watanzania ukienda ofisi ya mtu na lugha nzuri utasaidiwa tu kabla hata ya hiyo elf 10. Kuna gharama nyingi mtoa mada angejiongeza kabla ya official fees kama ulizoainisha (...
  14. Kinyau

    Shule ya Turkish Maarif School Arusha ni tatizo

    Mkuu pole Ila ni utaratibu wa shule zote binafsi. Hata mtoto angetokea Mwanza angerudishwa tu sembuse Manyara. Ustaarabu ni ungeongea na mkuu wa shule kabla hujampeleka mtoto bila risiti ya Ada. Pole mkuu Mungu akujalie upate ada.
  15. Kinyau

    Alinimbia eti mwanamke halazimishwi, sasa naye yamemkuta

    Mhenga mwenzangu Sometimes I wonder ni mimi nime outgrow common sense cause its never thr JF we had 15 or 10 years back . Unabakia kushangaa tu na kukaa kimya
Back
Top Bottom