Recent content by Dr. Said

  1. Dr. Said

    Msaada jinsi ya kutangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii

    Unafanya biashara gani na unataka kutangaza nini?
  2. Dr. Said

    Biashara Yangu Inataka Kufilisika

    Hello wadau, Baada ya kujaribu kuboresha huduma zetu na ku introduce mfumo mpya wa mauzo, wateja wamepungua maradufu, jambo linalohatarisha uhai wa biashara yetu. Nimeelezea kwa kuonyesha mfumo wetu wa zamani na mpya na plan niliyonayo kuihuisha biashara yangu katika video hapa chini. Naomba...
  3. Dr. Said

    Jinsi ya Kujenga Mashine ya Kunasa Wateja

    Na sababu yako ya kusema hivyo ni...
  4. Dr. Said

    Madeni Yanakutia Stress? Fanya Hivi...

    Your welcome. Mr. Joel yupo vizuri sana.
  5. Dr. Said

    Jinsi ya Kujenga Mashine ya Kunasa Wateja

    Karibu sana. Unaweza ku connect na community yetu hapa: Wazo Fasta
  6. Dr. Said

    Jinsi ya Kujenga Mashine ya Kunasa Wateja

    Ndugu yangu. Usitutie aibu hadharani
  7. Dr. Said

    Jinsi ya Kujenga Mashine ya Kunasa Wateja

    Ungesoma makala kwanza ndugu. Sio kila kitu forex.
  8. Dr. Said

    Jinsi ya Kujenga Mashine ya Kunasa Wateja

    Inaonekana hujasoma hadi mwisho. Soma tena.
  9. Dr. Said

    Ni biashara gani inaweza ingiza atleast faida ya TZS 5M kama nikiwekeza TZS 30M?

    Hello ndugu. Huhitaji mtaji (au mtaji mkubwa) kuanzisha biashara. Bali unahitaji taaluma ya kusoma matatizo ya soko pamoja na namna ya kutatua matatizo hayo. Baada ya hapo unatakiwa kuweza ku test soko lako bila ya kupoteza pesa nyingi. Kama soko linalipa, unajikita katika hilo soko na...
  10. Dr. Said

    Jinsi ya kupata wateja mtandaoni

    Pitia thread yangu hii itakusaidai: Jinsi ya Kujenga Mashine ya Kunasa Wateja
Back
Top Bottom