Recent content by DIBAJI

  1. D

    Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

    Imagine, hao watekaji wenyewe wanajua waTz wengi ni makondoo. Hata wangekusanyika watu kumi tu hao jamaa wasingefyatua risasi. Tuna safari ndefu sana.
  2. D

    Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

    Ndugu wana JF, naomba kama kuna mtu ana soft copy ya hiki kitabu anitumie tafadhali.
  3. D

    Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

    Beira Boy, naomba kama una soft copy ya hivi vitabu unitumie tafadhali.
  4. D

    Haraka haraka haina baraka! Subira yavuta kheri

    Kiongozi nina shida na wewe, nakuomba inbox tafadhali.
  5. D

    Ndoto ya kuwa askari inayonitesa hadi sasa

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  6. D

    Mo Dewji na familia yake ambayo haioneshwi kwenye tv

    Picha haina shida sema hilo pozi alilokaa jamaa, wanaume huwa hatukai hivyo.
  7. D

    Iran: Tutapuuza maonyo ya US ya kutoingilia mzozo wa Gaza

    Mkuu ongeza nyama hapo kwenye reptilian family na uvumbuzi wa teknolojia, hao reptilian family ni kina nani? Na hiyo teknolojia kwanini iwe Nevada tu na sio sehemu nyingine duniani?.
  8. D

    Eti mtoto mdogo wa kike akivalishwa shanga tangu akiwa mdogo akikua anakuwa na makalio makubwa?

    Wanawake wa West Africa wanaamini hivyo na hufanya kwa watoto wao tangu wakiwa wadogo kabisa kiumri, nimekutana na zaidi ya mabinti 5 wa West Africa wote wanadai ni kweli inasaidia kumfanya mwanamke kuwa na shepu nzuri. Kiasi nikaamini kuwa labda ni kweli kutokana na kuwa na wanawake wengi wenye...
  9. D

    Nay wa Mitengo, laana ya baba ake na mihemko ya kisiasa ina mvuruga kichwa

    Wimbo mzuri sana, mtoa mada una matatizo sana. Hao viongozi wako wakitaka kukuibia hawaoni aibu na wala hawana hiyo staha ambayo umemtaka Ney wa mitego kuionyesha mbele zao. Jamaa sio mnafiki kaongea ukweli sioni shida unless uwe hupendi kuambiwa ukweli.
  10. D

    Habari nyeti na nasaha zangu kuhusu vijana watakaofanya kazi na DP World

    Upuuzi mtupu, wachukue mali yetu halafu unakuja kujisifia kuwa tutapewa ajira. Kwa akili hizi maendeleo tutaishia kuyaona kwenye Tv.
  11. D

    TRA must tax Diasporas

    Umeongea point ya msingi sana, Yaani tulipe kodi halafu wao waishie kuwahonga malaya wao hiyo kitu haipo abadani.
  12. D

    Ukatili uliofanywa na wajerumani katika nchi yetu na Namibia dunia haisemi

    Kama kweli tupo serious na hili tungeanza kwanza na wajerumani Weusi wa Chama cha kijani maana hao wameturudisha sana nyuma kimaendeleo.
  13. D

    Top 3 Of all time kwa hapa Bongo

    Prof J apewe maua yake, naona kila mtu kamtaja. Binafsi namkubali pia kibongo bongo amefanya vizuri sana kwenye hip hop.
Back
Top Bottom