Hii nimepenyezewa jioni hii, na mdau wangu wa muhimu sana.
Wahusika wote waiotajwa kwenye report ya CAG mwaka huu wamesamehewa na Mh Raisi hii ni baada ya kamati ya kuwaombea msamaha kuwa na jukumu zito sana la kuwahoji kabla ya kumuomba Raisi awasamehe na awape onyo kali sana.
Kamati...
Kadri Raisi Samia anavyo fanya dhiara nje kutafuta pesa zinazo itwa za maendeleo ndio kadri wahuni wanavyo jipigia pesa za Umma.
Kasi ya upigaji ni kubwa kuliko ya kutafuta pesa huko nje na inaonekana Raisi hajali kabisa hilo, yeye upigaji sio jambo linalo muumiza kichwa wala kumkosesha...
Ni kwelu alikuwa Babtsit, ila ni yeye na Mme wake na jamaa mmoja ndio waliasisis SDA mwaka 1860 na mwakan 1863 kama sikosei ikaanza rasimi. Eleni alivutiwa na baadhi ya mafundisho ya William Millwe, huyu Millwe ndio alikuwa tapeli na kile tukio lake la Great Disapointment
Duniani kokote kule haijawahi tokea kiongozi wa nchi awe msafi kama Pamba then akubali kufanya kazi na Panya. Hiawezekani kamwe.
Watendaji wapigaji wanawakilisha kisawasawa tabia ya alie wateua.
Historia ya Raisi San Abach inaonyesha kwamba hata watendaji wake walikuwa ni wapigaji vibaya mno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.