Hatari sana man, yani ukiamua kubadili maisha yako unakuwa mtu mwingine kabisa mfano mimi zile shobo nilizokuwanazo kila nikimuona demu anaevutia sahizi sina kabisa, yani hata manzi awe mkali kiasi gani mimi namuona kama nyani tu yuko juu ya mti.
Juzi nimeingia mgahawa flani wa mshkaji wangu...
Imekaa fresh sana hii kamanda sema tupe maujuzi hapo kwenye mazoezi kwa ratiba maalum yanakuwaje... Mimi nipo mkoa wenye baridi moja mbaya na muda mzuri kwangu wa kupiga tizi ni asubuhi lakini nashindwa kuamka sababu ya baridi ni kali sana mzeebaba
Ni kweli chief NoFap ni kwajili ya kuacha addiction ya porn, masterbation na semen retention ni kwajili ya kutunza mbegu za kiume kwa manufaa makubwa kwa mwanaume mwenyewe..
Lakini kitaalam unashauriwa kuwa hizi zinafanya kazi pamoja na ndiyo maana wanaofanya NoFap huunganisha na Semen...
Karibu sana tulisongeshe mzeebaba. Mimi nina malengo ya muda mrefu kidogo... Target yangu ni miezi sita kwanza nikiimaliza hiyo najua nitakua legend tayari.. kisha naunga tena..
Kama wewe ni great thinker wala usingewaza hivyo. Lazima ungegusa pande zote ili ndiyo tujadili ni kwanini, sasa kwa ulipoishia kuandika mimi nashindwa kujadili maana pia wapo darasa la saba wanaofanya kazi za wenye degree eidha kwa kupeana kindugu ama kijuana kwa namna moja aau nyingine.
Sasa...
Vipi kwa kadi ya equity bank nayo wanazingua? Sema 22bet nilisikia ni changamoto sana kwenye kuweka pesa hazionekani kwenye akaunti kwa wakati na pia kuwithdraw nilisikia inazingua sijajua kwa hili kama unauzoefu nalo kamanda.....
Ndiyo mtaalam.. Tupe update... score za mwanzo mwanzo ngapi zilienda fasta.?
Natumai hukutuangusha memba wa hii challenge, ukianguka unaanguka kwa kishindo na ukirudi kundini unarudi kwa kishindo kikuu vilevile..... Pamoja na kwamba huyo ex alisababisha anguko lako ila natumai ulimkamua...
Hahaha hiyo ni mindset tu... yani kama wewe umejiwejea akilini kwamba mbegu ni lazima zitoke by any means utazitoa tu mpaka ziishe uanze kutoka upepo tu mzeebaba ila mimi nimeshajua umuhimu wa kutozitoatoa hovyo ndiyo maana niko deep to this one..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.