Search results

  1. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Hatari sana man, yani ukiamua kubadili maisha yako unakuwa mtu mwingine kabisa mfano mimi zile shobo nilizokuwanazo kila nikimuona demu anaevutia sahizi sina kabisa, yani hata manzi awe mkali kiasi gani mimi namuona kama nyani tu yuko juu ya mti. Juzi nimeingia mgahawa flani wa mshkaji wangu...
  2. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Imekaa fresh sana hii kamanda sema tupe maujuzi hapo kwenye mazoezi kwa ratiba maalum yanakuwaje... Mimi nipo mkoa wenye baridi moja mbaya na muda mzuri kwangu wa kupiga tizi ni asubuhi lakini nashindwa kuamka sababu ya baridi ni kali sana mzeebaba
  3. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Ni kweli chief NoFap ni kwajili ya kuacha addiction ya porn, masterbation na semen retention ni kwajili ya kutunza mbegu za kiume kwa manufaa makubwa kwa mwanaume mwenyewe.. Lakini kitaalam unashauriwa kuwa hizi zinafanya kazi pamoja na ndiyo maana wanaofanya NoFap huunganisha na Semen...
  4. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Kabisa maana mwili unakuwa na chaji moja matata sana sasa bila ndoto nyevu ingekuwa hatari..
  5. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Sema uzuri wake zile ndoto nyevu haziharibu challenge maana Mungu alituumba ziwepo...
  6. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Umeupiga mwingi sana kamanda, nasi tunakuja kwa kasi ya 10g kuwakilisha chama.
  7. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Nilianza upya mwezi huu wa sita tareh 1, sijaharibu tena mpaka leo.
  8. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Karibu sana tulisongeshe mzeebaba. Mimi nina malengo ya muda mrefu kidogo... Target yangu ni miezi sita kwanza nikiimaliza hiyo najua nitakua legend tayari.. kisha naunga tena..
  9. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Siku zote ukiona kitu hakikufai ujue hakipo kwa ajili yako....
  10. bafetimbi

    Una Degree na unafanya kazi ambayo ungeweza kuifanya hata kama ungeishia darasa la saba

    Kama wewe ni great thinker wala usingewaza hivyo. Lazima ungegusa pande zote ili ndiyo tujadili ni kwanini, sasa kwa ulipoishia kuandika mimi nashindwa kujadili maana pia wapo darasa la saba wanaofanya kazi za wenye degree eidha kwa kupeana kindugu ama kijuana kwa namna moja aau nyingine. Sasa...
  11. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Mwanangu toka nilivyoanza rasmi hiyo tarehe moja mwezi huu sijaharibu... Now mimi ni Master Sergeat.... Tunazidi kusonga
  12. bafetimbi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Vipi kwa kadi ya equity bank nayo wanazingua? Sema 22bet nilisikia ni changamoto sana kwenye kuweka pesa hazionekani kwenye akaunti kwa wakati na pia kuwithdraw nilisikia inazingua sijajua kwa hili kama unauzoefu nalo kamanda.....
  13. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Ndiyo mtaalam.. Tupe update... score za mwanzo mwanzo ngapi zilienda fasta.? Natumai hukutuangusha memba wa hii challenge, ukianguka unaanguka kwa kishindo na ukirudi kundini unarudi kwa kishindo kikuu vilevile..... Pamoja na kwamba huyo ex alisababisha anguko lako ila natumai ulimkamua...
  14. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Hahaha hiyo ni mindset tu... yani kama wewe umejiwejea akilini kwamba mbegu ni lazima zitoke by any means utazitoa tu mpaka ziishe uanze kutoka upepo tu mzeebaba ila mimi nimeshajua umuhimu wa kutozitoatoa hovyo ndiyo maana niko deep to this one..
  15. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Karibu sana mdau..... you will survive more longer in this challenge...
  16. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Pamoja sana mzee baba ngoja tulisongeshe gurudumu mpaka kieleweke
  17. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Watu tupo chungu cha sita saizi. Huyo mwamba ndiyo role model wangu na niliacha kuangalia pande ile mara tu alipostaafu nami nikaacha kabisa kuwa muumini wa kule maeneo pendwa.
  18. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Usijali utasimama tenaa... vipi ulifika chungu cha ngapi mtaalam mpaka ukaanza kuona hali hiyo..... inaelekea kuna manzi ulimwita geto.
  19. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Ebanaeee umekaza ile ile mzee na uko mbali balaa tuombee kwa baba aliye juu nasi tufike huko, naona bado kidogo sana uwe field marshal mtaalm... Sasa kuna watu wanashauri eti tusile msosi wa kushiba....... sababu wewe ni mmoja kati ya waliofika mbali kwa hii challenge je na wewe kutokushiba...
  20. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Mimi chungu cha tano leo..... kesho naingia cha sita
Back
Top Bottom