KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi au blazia, wewe nunua rangi uzipendazo kumuona...
Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke" hulka za kike ni pamoja na kulipenda jiko tena jiko likugope kihuheshimu
Unajisikiaje mbaba...
Wanaume mnaovaaga hivi chukueni maua yenu ππππ mnapendezaga sana mnakua sexy.
Hapa wanalengwa wanaume warefu wembamba wasio na kitambi. Kama wewe una kitambi au mfupi alafu unavaa ivi haya maua...
Wakuu wa Urembo.
Wifi na shemeji yenu kuna kazi anafanya jua linamuharibu ngozi yake. Katika kuulizia imebidi atumie mafuta ya kulinda na mionzi ya jua (sunscreen).
Sasa mimi nikaona nimfadhili...
Habari wakuu,
Ninaomba msaada kwa mwenye uelewa wa cream nzuri(isiyochubua please)kuondoa tatizo la chunusi usoni kwangu.
Nimeshatumia vitu vingi Lakini baada ya muda tatizo hurudi.Ninaomba...
Wapwa habari za asubuhi
Mdogo wangu anasumbuliwa na changamoto ya chunusi ametumia dawa mbalimbali lakin Je Hawa watalaam wa ngozi wanajiita my fair skin wanaweza tatua changamoto hii
Kwa...
Nawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya.
Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui...
Kumbuka perfume nzuri ni ile inayomfanya mtumiaji kujisikia vizuri, kuongeza confidence na uchangamfu, na kusaidia kuexpress haiba na mood yake. Kwa hiyo natakiwa kuchagua the best and right one...
Oneni huyu kaka[emoji1313]Hivi mwanaume unavaaje vikaptula vya aina hii?Hii ni aibu kwa taifa wanaume wa dar hapa mlipofika sasa mnataka kufanana na sisi dada zenu au[emoji1313]ndo uvaaji gani huu...
KAMA HAUUZI BASI USIINADI SASA RAFIKI
Kama sehemu zako za..sio njia yako namba moja ya uchumi basi acha kujinadi. Naam kila mwanamke anapata pesa kupitia huo...wake Penginepo kwa kuhongwa ama...
Jipende, uchafu sio sifa njema, eti unajisemea anipende jinsi nilivyo. Nani akupende na huo uchafu wako. Maua huvutia vipepeo na mizoga huvutia nzi. Kwahiyo, utawavutia wa aina ulivyo
Hakikisha...
Huyu afande, Kanali Mashauri ambaye ni mpambe wa Rais Samia, ukiacha mavazi ya kijeshi yuko vizuri pia katika mavazi ya kiraia.
Juzi niliona wakishuka pale Airport akiwa amevaa kiraia, amevaa...
Katika karne ya sasa , uvaaji wa wigi umekuwa fasheni katika sekta ya urembo na hutumika hususani na wanawake. Ingawa uvaaji wa wigi huwafanya wanawake hao kuonekana ni walimbwende zaidi.
Pamoja...
Haihitaji kufanya utafiti bali kutazama tu jinsi jamii inayokuzunguka inavyoishi katika suala zima la usafi hasa usafi wa kitu kinachoingia mdomoni mwako na jinsi jamii isivyojali kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.