Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.6K
Posts
214.4K
Threads
7.6K
Posts
214.4K
Jalia Unamuhudumia kila anachokitaka kutoka A to Z ikatokea siku moja ukagunduwa kuna mtu anachovya asali uitunzayo ,katika kukabiliana nae mpenzi wako ili ujuwe ni kitu gani kilichomfanya...
0 Reactions
43 Replies
9K Views
Siku moja katika blog fulani kulikuwa na mjadala mkali sana kuwa dada zetu wa kibongo (walioko mtoni/majuu) wanajiachia sana kwa watu wa afrika Magharibi ambao (wawest) huja kuwatosa vibaya sana...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wanaume ni mwanamke gani mnayemtaka na awe na sifa gani ili muweze kutulia katika mahusiano yenu ??mnahangaika sana ukiona mrembo kakatiza huishi kugeuza shingo 1. Umbo zuri namba 8 macho ya...
0 Reactions
96 Replies
10K Views
Hello people, wanna chat with me. am from kenya n i wanna mek lots of friends
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hii ni special dedication kwa ajili ya mama watoto wangu mtarajiwa Francine! namwambia " LET ME HOLD U" http://www.youtube.com/watch?v=R3RjfSRAnwA
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Amekua muda mrefu akihisi mke wake anamuibia kwa kutembea nje yandoa. Akaamua aandae safari feki na kurudi ghafla bila mkewe kutarajia. Akarudi na Taxi usiku wa manane na aliamua dreva Taxi...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
kila siku huwa najiuliza....mbona siku hizi watu hawachungi dada zao????? yaani sisikii wala kuona watu wakichunga dada zao,,,,,, na mara nyingi imenitokea nakutana na wasichana mbalimbali ambao...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Ni kisa kilichoniacha mdomo wazi wenzangu ...hivi unaweza penda mpaka ukafikia hatua ya kuua ..?? katika hali ya kutatanisha mama mmoja inasadikika alimuua mmewe mwenye takribani miaka 42 na yeye...
0 Reactions
54 Replies
13K Views
Tunatofautiana muda! Wanaume wengi huamini kwamba jinsi wao walivyo tayari kwa tendo la ndoa na jinsi wanavyohitaji tendo la ndoa basi na mwanamke naye yupo hivyo. Kama tulivyoangalia huko...
1 Reactions
11 Replies
19K Views
45 things a girl wants but wont ask for: 1. Touch her waist. 2. Actually talk to her. 3. Share secrets with her. 4. Give her your jacket. 5. Kiss her slowly. Are you remembering this? 6. Hug...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
jamani wana jamii naombeni msaada wenu wa dhati kabisa. nilikuwa na mchumba mtarajiwa kabisa wa kuwa mume wangu, tumekuwa kwenye urafiki kwa mwaka na nusu sasa, nimeenda kwa wazazi wake na nduguze...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HOW TO END RELATIONSHIP Don't text or leave a message on an answer machine Don't end the relationship during a telephone conversation Don't let someone else pass the message on Don't...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kuna hii tabia ya wanawake wakigundua waume zao au BF zao wanacheat na hasa wakipata namba za mgombea mwenza kupitia simu za waume zao, wanaamua kuwacontact wale wezi wao, sas mimi huwa nashangaa...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Inashangaza mno! Training: How to cuddle http://www.oc-cuddle.com Wanaume wengi huwa hawaoni umuhimu wa kuwabembeleza wake zao kwa kuwakumbatia, pakata (cuddle, hold, touch), busu, shikashika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Usikimbie tatizo! Dunia tunayoishi huwezi kukwepa kukutana na tatizo au shida au mkwara au majaribu au mateso au ugumu wa maisha eneo lolote. Hata hivyo linapokuja suala la ndoa au mahusiano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanza kabisa nianze kwa kusema Shikamooni nikiamini wengi wa member ni watu wazima na wenye heshima na familia zao. Mimi bado ni kijana wa miaka 21 na nipo chuo kikuu mwaka wa pili. Nisirefushe...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
A UPDF officer in Bushenyi District, Uganda stunned residents when he handed over his wife to the Police after discovering that she had reportedly given money he has sent to her to another man...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndoa ya jinsia moja imesababisha mwanaume ajiue baada ya kukimbiwa na "Mkewe" (Mwanaume mwenzie, shoga) ambaye baadae alianza mapenzi na mwanaume mwingine. Mchekeshaji maarufu wa nchini Uingereza...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mimi ndimi mke anayelalamikiwa katika thread iliyotolewa mapema leo. Nimelazimika kutoa maoni yangu kwa PI, baada ya mume wngu kuniambia kusoma comments za watu kuhusu maisha yetu. Kwanza kuna...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wanafaa sana! Je, umechoka kusikia kuhusiana na tofauti kati ya mwanamke na mwanaume? Ni kweli mwanaume na mwanamke wapo tofauti sana na hakuna mjadala kuhusu hili. Wote mwanaume na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom