Hi! naitwa paul nina umri wa miaka 28,ni mwanafunzi wa chuo .natafuta mchumba ili mungu akipenda,aje kuwa mke wangu wa ndoa.anatakiwa awe mkristo na mwenye hofu ya mungu,umri kati ya 18-26.kama...
Mimi ni mtanzania ninayeishi Scandinavia na nimechukua uraia wa hapa. Natafuta mpenzi/mchumba anayeishi Europe kwa sababu itakuwa ni rahisi kutembeleana na kuwasiliana. Mimi ni mtaratibu, mkimya...
Wana JF especially girls, nahitaji mdada mrembo aliyeelimika labda Diploma, Bachelor Degree, or Masters, awe faithful.
Mimi nina Masters in International Trade. Aliyetayari ani PM.
Jamani wana JF kijana mwenzenu nimechoka kuwepo kuwepo sana kwa hiyo nataka KUOA hivyo nipo kwenye mchakato wa kumpata.
Wasifu wangu
Jinsia, mwanaume
Umri, miaka 29
Dini, mkristu
Kazi...
Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28.
Lakini ni Lazima Tuanze kama Marafiki kwa muda kadhaa tupate Kuzoeana kwa kila hali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.