Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mongella ameiambia Dunia leo Mchana kwamba Bangi ya Arusha ndio inayoshikilia rekodi ya Ukali kuliko zote Duniani.
Taarifa hii Muhimu imetolewa na Mkuu huyo wa Mkoa...
SERIKALI ITENGE MAENEO MAALUM KWA AJILI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI ILI KUONDOA MIGOGORO YA HIFADHI
"Nchi zilizoendelea mfano Afrika ya Kusini, Durban ni sehemu inayohusika na viwanda tu...
Sijaelewa kama mikataba yote ya serikali inapelekwa Bungeni sielewi Kabisa.
Nauliza kama haya makubaliano sio muhimu kama ambavyo Msigwa unataka kutuaminisha Kwa Nini yalipelekwa Kwa wapiga...
Mama Samia kanyaga twende! Wtz hawakujua maana ya vyama vingi wakavikataa lakini Nyerere kwa uzoefu wake akasema vyama vingi ni muhimu na matunda yake tunayaona, kwahiyo akina Mbowe wajue kwamba...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 55, leo Juni 26, 2023.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Nchemba amesema fedha zinazopelekwa kwenye Mikopo ya Elimu ya...
Salaam Wakuu,
Hayati Magufuli Rais wa Tanzania ambaye alifariki 2021, nilishangaa kuona alipewa eti Shahada ya Udaktari wakati alikuwa msahaulifu na muongo.
Ukitaka kujua akili za Magufuli au...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunikuwa tuzo ya Kutambua mchango wake kwenye mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini.
Tuzo hiyo imekabidhiwa kwake na Waziri...
Lipo tatizo ambalo linapaswa kufanyiwa utafiti. Tunaweza tukadhani tunaua vijana kisiasa kumbe tunafifisha viongozi wa kesho wa Tanzania.
Nikimwangalia Nassari akiwa Chadema na leo ndani ya CCM...
Mnaonaje DP World ikiamrishwa kulipa madeni yote ya wanafunzi wa elimu ya juu wanayodaiwa na bodi ya mikopo?
Wakishalipa ndo tukae sasa tuwape terms na conditions zetu kuhusu bandari, then tuwape...
Sijawahi kua muumini wa John Magufuli hata siku moja na siwezi kua, lakini leo kwenye sherehe za kuadhimisha siku ya dawa za kulevya nimeona kwanini magufuli alitumia matatizo ya watu kujijenga...
Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi...
Nimeanza kuona kila dadili za rais Samia kuelemewa na uongozi wa nchi hii. Yapo mengi ya hovyo yanaendelea wakati huu watu wakiwa wameweka macho yao kwenye sakata la bandari.
Nimewasikia baadhi...
CDM ni chama chenye uuchwara mwingi sana, na wala siyo chama cha maana. Lakini kwenye uuchwara huo nashangaa wameshindwaje kuwateka wakulima ukiaangalia jinsi mkulima wa nchi hii anavyoteseka...
Je mnakumbuka kitabu cha Dr. Harith Ghassany aliyeandika kitabu chake cha Kwaheri Ukoloni kwaheri Uhuru, ambacho Mzee wetu Mohamed Said(Yumo humu) alikuwa ni research assistant wa kitabu hicho...
Tangu chekechea mpaka Chuo kikuu tumefundishwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ndio uliozaa Tanzania Apri 26,1964.
Hii ni ndoa ya Nchi 2 zilizokuwa na hadhi Sawa kimataifa na Kila moja...
Ukiifikiria vizuri kauli ya bwana Mbowe aliyoitamka eti HATA WATU WA USALAMA WA TAIFA NA VIONGOZI NDANI YA CCM wanamtaka alisemee hilo jambo la BANDARI ni wazi unang'amua pengine upo usaliti wa...
Nilichokigundua ni kwamba ni kosa kubwa sana kwa serikali kuwatupia hoja ya mikataba kama hili la Bandari kwa wananchi eti wajadili na kutoa ushauri. Hili ni kosa kubwa sana kwa vile mikataba kama...
Hi
Watanganyika hoja yao kuu ni kwamba kwenye muungano hawana chombo chao cha maamuzi (Tanganyika), huku Wazanzibar hoja yao kubwa ni kwamba wanakosa nguvu ya moja kwa moja kwenye majukwaa...
Ni Juzi TAMISEMI imetoa mkeka wa wanafunzi wanaojiunga kidato cha Tano!! Niajabu kama taifa hatushtushwi na idadi ndooogo ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya A level!! Taifa la watu milioni 61 na...
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku amemwambia Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, watafanya hivyo kwasababu kwa miaka 7 mfululizo, serikali imekuwa ikitenga fedha kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.