Imethibitika sasa Hilda Newton yuko Central Polisi, msamalia mwema aliyemuona muda mchache uliopita anasema amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao.
Soma Pia: Sintofahamu...
Huu unyama unatisha sana CHADEMA msikae kimya
Chadema kusanyeni video zote mnayoteswa na Police, zipelekeni Human Rights Watch na Amnesty International ili dunia ijue
John Heche (Makamu Mwenyekiti Tanganyika wa CHADEMA) katika hotuba zake kwenye mikutano ya kampeni za NO REFORMS NO ELECTION 2025, mara kwa mara ametumia maneno haya, kwamba, dola la Tanzania kwa...
Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam).
Soma Pia: CHADEMA...
https://youtu.be/3YNAwQvYwDc?si=bvNLXenQyEbko2Lf
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya ahbari leo Aprili 25, 2025 saa saba mchana...
Moja ya sifa kuu ya Majaji Wakuu Watatu (Wazawa) wa Kwanza wa Mahakama ya Tanzania yaani Jaji Francis Nyalali, Jaji Bararbas Samata na Jaji Augustino Ramadhani ni kwamba, pamoja na kuiheshimu sana...
Ni bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri.
Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii.
Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa...
Makamu mwenyeki CHADEMA Bara Heche, ataongea na Wanahabari leo.
Pia ataelezeza kinagaubaga kilichotokea na kinachoendea na kitakachoendelea.
Nitakuwepo mbele kabisa...
Nikiwa kama kada mtiifu na muaminifu kwa JMT, nasema acheni kumsimanga na kumshushia lawama Mh. Rais kuwa anatumia madaraka vibaya.
Vipi wewe kwa upande wako, endapo ungepata nafasi ya kuwa...
Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa...
Leo sitaki kuzungumzia issue ya muungano na impacts zake. Nataka kwa ufupi kabisa nitoe kaushahidi kadogo kuwaambia Watanzania a.k.a Watanganyika kuwa viongozi wao wapo kwa ajili ya matumbo yao na...
Hivi Tatizo letu ni Chadema Kweli?
Wana CCM wenzangu naomba tujiulize, hivi wanaotusumbua ni Chadema kweli au ni Wananchi?
Waliotukataa ni Chadema au ni Wananchi?
Chadema ni nani Hawa? Wako...
Yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika...
Wakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa...
Kesho ni Sikukuu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Muungano usioeleweka!
Kuna mambo mengi yasioeleweka kwenye Muungano huu!
Kwa uchache tu; Umewahi kuona Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano...
We chunguza tu makamanda wote wa Chadema wako live hapa Jf kuanzia Juzi hadi sasa hivi
Wote akina Tindo, Mshana jr, Retired, Erthrocyte nk wapo hapa hawajapigwa kirungu hata kimoja
Hii...
Baadhi ya watu au Kundi kubwa la watu ndani ya tawala wa raisi Samia Suluhu Hassan wameamua kwa azimio moja chini ya uangalizi wa chama cha Mapinduzi CCM kuwadhuru, kuwaua, kuwatesa na hata...
Japo mazishi yanaangukia sikukuu ya Muungano tafadhali tusikose mwakilishi huko Vatican kwenye mazishi ya Mzee wetu Baba Mtakatifu Francis. Mheshimiwa Majaliwa na Mstaafu wanatosha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.