Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa CCM wa Tawi la STEMMUCO mkoani Mtwara wakati wa sherehe za kuwaaga wanachama wa CCM waliohitimu masomo yao katika Chuo cha...
1 Reactions
70 Replies
8K Views
Ndugu wana CHADEMA na viongozi wa Chama kutokana na vuguvuga la kuwaondoa machinga katika Jiji la MWANZA ukurasa huu ulilazimika kufanya utafiti juu ya hilo sakata. Katika kufanya uchunguzi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau salam, Kuna vitu ambavyo huwa vinashangaza sana kusema ukweli. Kumekuwa na kautaratibu hata mtu akitoa hoja nzuri, kuna watu wanajaribu kum -Link na CCM, na kisha kusema tu 'Wewe ni CCM'...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau! Kuna baadhi ya watu hasa CCM, wanajifanya hawajui kuwa wamefanya mengi maovu, hawajui watu wamechoka, hawajui kuwa Tanzania hakuna amani bali uoga, kidogo niwambie kuwa, wapo vijana wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, nawasalimu, Inasemekana hata mtu anapokuwa kichaa, ni vigumu kujigundua yeye mwenyewe kwamba akili zake haziko sawa.Sasa ninaomba kama nitakuwa naongea vitu ambavyo havipo, au kumbu kumbu...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Umewahi jiuliza sababu za mikoa ya Kusini mwa Tanzania kuwa nyuma kimaendeleo? Mawazo yangu nadhani ni kuwepo kwa wabunge mizigo wasiojali wananchi na maebdeleo ya mikoa ya Kusini.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Africa's 40 Richest »#34 Reginald Mengi Net Worth $550 Million As of November 2013Follow (6) Source Of Wealthmedia, mining, Self MadeCitizenshipTanzaniaMarital StatusMarried Reginald...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari zilizonifikia jana jioni ikanilazimu kufika leo kituo cha polisi Kasulu Mjini ni kwamba Mh Ester Kasyome, Nashon Kasyome na Mke wa Nashoni Kasyome wote watatu wako chini ya ulinzi wa polisi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau kuna vikao vya act wanavyo kaa na kuwashawishi wana cdm wasio waaminifu wajiunge nao,tena jamaa act watapoteza sana vipesa vyao ambavyo vinatokana na mshahara wa watu wanao upata kutokana na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Ghalib Bilal kushoto na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao wakimwaga mchanga kwenye jiwe la msingi mahali ambapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bajeti inahitimishwa leo na sasa waziri Mwigulu anatoa maelezo ya majibu ya hoja za wabunge. Anazungumzia misamaha ya kodi kuwa govt imeleta mswada wa kupunguza misamaha ya kodi hivyo wabunge...
1 Reactions
84 Replies
7K Views
  • Closed
Ndg wana JF sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha kiongoz mwandamizi wa CHADEMA akipanga mauaji ya mhariri wa gazeti. Mambo yako dhahiri kwani video inaonesha pale ni nyumbani kwake...
34 Reactions
955 Replies
67K Views
Kumekucha wazanzibari.. Siku ndo hizooo zayoyomaa na muda unataraddadi... Jee mmejipanga vipi kutekeleza na kutumia haki yenu ya umoja wa kitaifa (tanganika na zanzibar) kwa kuteua(kutoa0 mmoja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Spoka msataafu Pius Msekwa amesema haoni haja wala sababu ya msingi ya Tanzania kuandika Katiba Mpya kwasasa kwani hakuna matukio makubwa ya kisiasa nchini yanayolazimisha kufanya hivyo. Katika...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Ndugu zanguni Najua watu wengi siku hizi wanajiuliza kulikoni Chadema? Kama mjuavyo , haya yaliisha tabiriwa siku nyingi na tulirudia mara nyingi kuwajuza kuwa chadema itakufa kifo cha mende na...
5 Reactions
66 Replies
7K Views
Katika kuhitimisha hoja ya bajeti ya serikali waziri wa fedha Saada Mkuya alitetea kitendo cha serikali kuchelewesha kulipa madeni ya watumishi wake eti kukabilana na wizi! Alitoa mfano wa deni la...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau salaam, Nimeleta uzi hapa umeondolewa.Labda nimetumia lugha mbaya ndio maana umeondolewa na kwa kuwa naamini mods wana akili timamu, basi! tuamini tu kwamba walichokifanya ni sahihi. Ngoja...
2 Reactions
103 Replies
7K Views
Tanzania's total national debt stock has reached $10.8 billion (Sh15 trillion), and experts caution about a possible debt crisis. The debt increased by about $4 billion in four years between 2007...
0 Reactions
80 Replies
9K Views
Jana Jumapili, Mtanzania mmoja alikamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jommo Kenyatta akiwa amebeba kilo moja na nusu ya heroin. Polisi nchini Kenya wamesema kuwa Mtanzania huyo alikuwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
1: ufisadi; mpango uliolenga kuichonganisha serikali ya ccm na wananchi. Mpango umeshindwa na hausikiki tena. 2: Nchi kutotawalika; mpango huu ulilenga kuwatia hasira wananchi mara baada ya...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom