CAF champions league ndo kilele Cha Mpira wa Vilabu Barani Africa
:- Au kwa Watasha unasema CAF champions league is the Pinnacle of Club football in AFRICA
:- Ni kama shule tu.Mnaweza kuanza...
Wananchi na viongozi wao wa Wilaya ya Nyasa wameamua kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha ujenzi wa uwanja huo wa Michezo unakamilika kwa wakati.
Ukanda wa ziwa Nyasa umebarikiwa kuwa na...
Naaaam, baada yakumaliza ubishi Kati ya Kennedy musonda na Jean claud van Damme wa kongo yaani baleke. Sasa tutizamie Nani fundi wa mpira Kati ya Sawadogo na Mudathiri pale dimba la Kati?
Simba...
"Yanga ndio tegemeo pekee la Tanzania kimataifa, Watanzania wana imani na Yanga inaweza kuleta Kombe la CAF msimu huu, sio timu inashiriki kimataifa ikifaka Robo ishachukua Ubingwa, tutoke huko...
Utashangaa vitimu vidogo vinavyokamia timu kubwa.Huwa inafika wakati kukamia kwao kunajibu.
Naifananisha hii timu na vitimu vidogo jinsi vinavyokamia mechi. Ndivyo hata inavyoonekana nchi...
Kwa wale ambao ni watazamaji wa mchezo wa mpira wa miguu wanajua kuna vitu vidogo sana ambavyo vinaweza kubadilisha mwelekeo wa mchezo na kubadili na matokeo moja kwa moja
Kitu ambacho kimebadili...
MOROGORO: Kocha na mchezaji wa zamani wa Pamba SC, Simba SC na Taifa Stars, Amri Ibrahim amekutwa amefariki jioni ya jana Jumamosi Aprili 08, 2023 baada ya majirani kuona hajatoka nje kwa muda...
Salam Wana jf
Katika harakati za Uchambuzi wangu Leo nilikuwa naangalia baadhi ya mechi za kimataifa walizocheza Yanga vs mechi za kimataifa walizocheza wydadi Casablanca
Nimegundua yafuatayo...
Day 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda. Day 4: Simba anamkaribisha vipers game itaisha sare, horoya anamkaribisha raja na mgeni atashinda...
Ifuatayo ni List ya Wachezaji ambao awali waliingiza Fedha Nyingi sana Kupitia Mpira wa Miguu lakini Baadae walifilisika.
1.Ronaldinho.
Mwaka 2020 Alikamatwa na Polisi kwa kosa la kuwa na...
Ndiyoooo, sina muda wa kutoa salamu maana nitakua napoteza muda tu, twende moja kwa moja kwenye point kuu.
Hakika NALIA NGWENA toka nianze kushuhudia mpira sijawahi kushuhudia robo fainali mbovu...
Karibu tena upate burudani ya soka tamu kutoka kwa Wananchi..
Ni robo fainali ya Azam federation cup baina ya Machampioni watetezi Yanga dhidi ya Geita Gold kutoka mkoani Geita.
Mchezo huu...
Wanamichezo wenzangu wana-jf, Nimejiuliza hili swali ila bado sijapata jibu kwamba nini kinapelekea Mazembe kupitia wanayopitia siku hizi?
Nimekosa majibu hebu nijibieni, maana wamenishangaza sana?!
Habarini Wananchi wote wa JF..!
Bila kupoteza muda naomba nisiwachoshe tusichoshane..Ukweli huwa ni mchungu sana..hii imewafanya watanzania wengi wanapenda uongo wenye kufariji kuliko ukweli...
Hichi ndicho kinachoikuta Simba hii ndiyo mechi yake ya MWISHO kuwa na furaha. Tunzeni haya maneno nipo nimekaa paleeee mje mniuwe kama itakuwa uwongo tutakutana hapa hapa kwenye page hii.
Hivi kweli Yanga ndiyo timu ya kupata kagoli 1 tena baada ya wapinzani kupungua. Wakati hadi confederation CAF wanaijua. Alafu kocha Nabi hatumuoni kaenda wapi na kuiacha timu ikiwa taabani hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.