Je, suala la ajira kwa wataalamu hasa wa afya (matibabu) ikoje ndani ya jeshi letu, mpaka inafikia kuwa na wataalamu wachache mno, hali ambayo inapelekea taifa kupoteza pesa nyingi kwa ajili ya...
Wakati nchi ikiendelea kuelea katika mawimbi na Kimbunga cha misukosuko ya kiuchumi, kimaadili, usalama, na kitaaluma, watu tumekujikuta tukiwa katika hamaki kubwa, hatua mbali mbali...
Wanajamii,
Nimekutana na hii report ya one of the detailed research kuhusu hali ya maisha ya watanzania na utulivu tulionao. Kwa kweli hii report inazungumzia ukweli wa hali halisi ambao hata...
Wadau
Hayo ndiyo mambo ya Libya, someni afu mtafakari jinsi hii dunia ilivyo na UN yenye wenyewe (Americans and British aka World Bank na International Monetary Fund,)
Lazima viongozi wa Afrika...
Kwa wana JF mliokatikati ya Jiji la Dar es salaam tujuze, nimekutana hapa TAZARA na magari manne ya wazee wa kazi yaani Field Force Unit a.k.a Fanya Fujo Uone (FFU) na Washa washa moja yakielekea...
Kuna kiwanda cha kutengeneza Chupa kinaitwa Kioo Limited, Kipo jijini Dar es Salaam, hiki ni kiwanda kikubwa tu hapa nchini, kinatengeneza chupa, na kinauza ndani ya nchi na Afrika Mashariki na...
Wandugu,
Leo (Juni 30 2010) ndio mwisho wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama tunavyoifahamu, kwani kuanzia kesho (Julai mosi 2010) Tanzania itakuwa chini ya "Soko la Pamoja" la EAC. EAC...
Sven-Goran Eriksson 'duped into managing football minnows by businessman who promised billions in incredible fraud'
By Neil Sears
Last updated at 7:32 AM on 19th April 2011
Add to My...
With each passing day comes the inevitable cementing of JK's presidency. On his way to what is poised to become the worst presidency in Tanzania's young history, is the president a product of the...
A MODEST PROPOSAL
Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna vumbi la chuki, fitina, wivu, kisasi, na hisia za kibaguzi dhidi ya jamii ya Wachagga nchini. Kuna kila dalili kuwa jamii ya Wachagga nchini siyo tu...
Kumekuwepo na taarifa zisizokuwa rasimi watu wakithubutu hata kusema milipuko yote iliyotekea katika makmbi hayo ni hujuma je wewe na mimi waweza kuhisi ni hujuma au ni bahati mbaya?
Maana kwa...
Mikataba yote ya UFISADI DUNIA NZIMA inawekwa hapa:
http://wikileaks.org/wiki/Wikileaks
Wikileaks, a wiki-based information clearinghouse for whistleblowers that TIME said "... could become as...
Katika pita pita vi inzi vinadokeza kuwa balozi wa TZ huko Canada anatarajiwa kuhamishiwa UK na yule ambaye tulidokeza miezi michache nyuma kuwa ameshindwa kupelekwa kule Scandinavia anaweza...
HII NI KWA MUJIBU WA TOVUTI YA CIA KUHUSU TZ:
Tanzania
Chiefs of State and Cabinet Members of Foreign Governments
Pres.Jakaya Mrisho KIKWETE
Vice Pres.Ali Mohamed SHEIN, Dr.
Prime...
Wadau wa Umoja House salaam!
Nimeona nisilifumbie macho suala hili maana linaharibu uzuri wa Mjengo mzima na kitendekacho humo ndani.
Awali ya yote napenda kuzipongeza balozi za Uingereza...
By ANDREI CHANG
HONG KONG,
China has had a number of dealings with South African weapons manufacturers over the past decade, most of which have not resulted in actual weapons purchases...
Looks like it sasa kabla hamjaanza kumshambulia R.O tuanze kwa kuangalia hao wazungu walikuwa ni akina nani na je walipewa security clearance na nani? Na kwa nini walikuwa wanaopiga picha wakati...
Kama mliona ya Loliondo ni makubwa basi makubwa zaidi yanakuja,
Watanzania tuwe tiyari kupokonywa ardhi.
=============
Tanzania farmers in key arable areas face eviction by multinational...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.