Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wapendwa naomba orodha ya bima ambazo ni nzuri na nafuu kwa mtoto mwenye umri wa miaka mi tano (5)
1 Reactions
1 Replies
93 Views
Salam wana jukwaa. Kwenye video ni Dr. Wahome kutoka Kenya mbele ya Mhe. Museven, Rais wa Uganda akimwelezea jinsi WHO inavyojipanga kupitisha sheria au protocol ambayo itaipa nguvu katika kufanya...
0 Reactions
5 Replies
196 Views
Habari za majukumu ndugu zangu,Nina mtoto wa kiume miaka 4 Sasa lakini haongei ni kupiga makelele tu ana dalili hizi hapa chini 1. Ukimuita jina lake hageuki 2. Anapiga makelele tu 3.kuna wakati...
30 Reactions
222 Replies
7K Views
Habarini wa Jf imepita sasa takribani week7 na nusu niko week ya 8 baada ya kuishi kwa msongo mkubwa sana wa mawazo kupelekea afya kudhorota na ufanisi wa kazi kuwa mbovu baada ya kuyatimba kwa...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume, Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
24 Reactions
129 Replies
3K Views
Wiki 2 na siku 5 zilizopita nimetoka kuuza mechi( yani kupiga kavu) na demu ambae tunajuana kwa muda mrefu.. balaa likaja baada ya kupita wiki 1 na siku kazaa nilipata mafua makali lakini yakakata...
16 Reactions
180 Replies
9K Views
No wonder this grass went viral all over the social media. With its endless health benefits, it is truly God’s gift to mankind. We can find this weed almost everywhere throughout the Philippines...
75 Reactions
2K Replies
268K Views
Wanajamvi Jana nilileta mada hapa kwamba nasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwezi Sasa yapata licha ya kumeza dawa za hospital Kuna mdau amenishauri kwamba maji ya moto ni dawa ambayo watu wengi...
6 Reactions
53 Replies
869 Views
Chembe hai za ubongo (neuronal cells) zina utando unaoitwa Sphingolipids( Haya ni mafuta maalum ya ubongo) na mojawapo yanaitwa Sphingomyelin.. mafuta haya husaidia kusafirisha taarifa ( impulse)...
4 Reactions
9 Replies
205 Views
Uji wa lishe ni nini; ni uji unaotengenezwa kwa kutumia nafaka mbali mbali zilizochanganywa na virutubisho vingine mfano protini, mafuta n.k Je, ni sahihi kumpa mtoto; ndio, mtoto kuanzia umri wa...
1 Reactions
0 Replies
63 Views
Habari Ndugu zangu! Nimetafuta ujauzito kwa muda mrefu bila ya mafanikio! Nimekutana na Daktari kaniambia Nina PCOS kwenye ovary mbili zote! Amenipatia metrofromin na kaniambia tu nifanye...
2 Reactions
20 Replies
290 Views
Usugu wa dawa, au usugu wa antibiotics, ni hali ambayo viumbe vidogo kama vile bakteria, virusi, na vimelea vinakuwa na uwezo wa kustahamili athari za dawa za kuua viini au kuzuia ukuaji wao. Hii...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
HAPA NI ELIMU YA ASALI TU Unakuta mtu anaasali nyingi hajui matumizi yake. Niulize chochote kuhusu asali nitakujibu hapa natoa na elimu yake Dawa ya Asili ya Kikohozi Sugu VIFAA 1.Kitunguu...
6 Reactions
123 Replies
6K Views
Wanajamvi vidonda vya tumbo vinatesa sana aisee yaani mpaka mbavu na kifua vinabana naombeni anejua sawa anisaidie nikipona nampatia zawadi kubwa sana wadau nateseka sana yaani Sina aman Sasa...
1 Reactions
28 Replies
495 Views
Habari Ndugu zangu! Nimetafuta ujauzito kwa muda mrefu bila ya mafanikio! Nimekutana na Daktari kaniambia Nina PCOS kwenye ovary mbili zote! Amenipatia metrofromin na kaniambia tu nifanye...
0 Reactions
9 Replies
144 Views
Sehemu zote zenye vein zinauma mikono na kwenye maungio ya miguu
2 Reactions
18 Replies
313 Views
Habari JF Sambamba na kichwa cha habari hapo juu naomba kufahamishwa hospitali ya macho nzuri inayotibu kwa bei nafuu ukiachana na CCBRT ya Msasani Masaki. Note . Kwa hapa Dar es Salaam
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Kondo la uzazi kumtangulia mtoto (Placenta previa) hutokea wakati wa ujauzito, kondo huongezeka ukubwa na kutanuka kadri mfuko wa uzazi unavyotanuka na kukua. Ni miongoni mwa hali za hatari kwa...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Huu ni ushauri katika Hospitali zetu waongezwe wataalamu ambao wataweza kufanya huduma bora za kuvisha meno yenye tundu kofia za silva ili kuepuka usumbufu katika utafunaji. Kumekuwa na...
2 Reactions
3 Replies
97 Views
Mama anapokuwa mjamzito, chembechembe za mtoto huhamia kwenye mkondo wa damu wa Mama na kisha kuzunguka tena ndani ya mtoto, hii huitwa “fetal-maternal microchimerism”.⁠ Kwa muda wa wiki 41, seli...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Back
Top Bottom