Nimeona huko walimwengu wakijadili kuhusu vile vipele vinavyozunguka kichwa cha uume, sasa baadhi wanadai kuwa mwanaume mwenye hivyo vipele ana asilimia ndogo sana ya kuambukizwa UKIMWI hasa akiwa na damu group O-, lakini pia mwanaume mwenye navyo hawezi kupata magonjwa ya zinaa.
Haya mambo yanachanganya, tusije jikuta tunalombana bila tahadhari tukapata majanga.
Naamini humu tutapata uhalisia wa hili.
Nimekutana na hii kuwa wazee wetu zamani walihifadhi maziwa muda mrefu kwa kuweka chura hai kwenye maziwa hayo ili yasiharibike. Mimi nimezaliwa kipindi ambacho friji hazikuwa nyingi hivyo maziwa tulihifadhi kwa kuchemsha na kupasha mara kwa mara ili yasiharibike, hii ya chura ndo kwanza naisikia leo.
"HOTUBA YA DONALD TRUMP KUHUSU KWA NINI ANAWACHUKIA WAAFRIKA NA WAARABU".
Hatulazimiki, hata kwa sekunde moja, kujaribu kuthibitisha kwa mtu yeyote na hasa kwa weusi na Waarabu kwamba sisi ni watu bora zaidi - tumedhihirisha hilo kwa weusi na Waarabu kwa njia 1001.
Marekani tunayoijua leo haikuundwa na matamanio.Tuliiumba kwa gharama ya akili, jasho na damu.....hatujifanyi kama wazungu wengine kwamba tunawapenda weusi - Lazima tukubali, bila yoyote. hofu, kwamba hatuwapendi, na kwa hivyo, kwa hivyo, sababu nyingi halali.
Ukweli kwamba weusi na Waarabu wanafanana na binadamu si lazima kuwafanya kuwa binadamu wenye akili timamu. hedgehogs sio nungu na mijusi sio mamba kwa sababu wanafanana. kama Mungu angetutaka tuwe sawa na weusi na...
Nimekutana na hii Video inasambaa huko Instagram ikimhusu aliyekuwa Msemaji wa Yanga, Haji Sunday Manara ikiwa na maneno kuwa Yanga haifanyi lolote jipya ambalo halikuwahi kufanywa na Simba!
Imenishangaza hii kauli kama ni kweli Manara aliongea hivyo au imechezewa?
Nimekutana na taarifa zinadai kuwa Baltasar Ebang Engonga ameachiwa huru na kurudi mtaani baada ya kukutwa hana hatia kwani Wanawake wale aliokuwa akifanya nao ngono kwenye zile video zaidi ya 400 ni watu wazima na walionekana kuwa wameridhia kufanya na kurekodiwa.
Aidha vipimo vilionesha hana ugonjwa wowote wa zinaa na hivyo kuwa huru kwani hajasababisha madhara yoyote kwa jamii.
Je, ni kweli au watu wanatupiga huku mtaani wakuu?
Nimekutana na hii taarifa iliyotolewa na The Chanzo ikidai kuwa Padri Dkt. Kitima kupitia taasisi yake ya CK ana mradi wa kugawa bidhaa tajwa hapo juu,
Wasiwasi wangu isije kuwa wanamchafua Padri kutokana na maoni ambayo amekuwa akiyatoa katika nyanja za Siasa, Uwajibikaji na Utawala Bora.
Nimekuwa ni mtumiaji wa panadol katika kusafisha pasi yangu inapochafuka, lakini nimepigwa na butwaa na kupata wasiwasi baada ya kukutana na post mtandaoni kuwa matumizi hayo ya panadol ni hatari kwa afya ya binadamu kutokana na kuzalisha sumu kali, hili uhalisia wake ni upi?
Kwenye hizo audio mbili yasemekana Serikali inaidai kampuni ya Vodacom "tozo" au "kodi" kutokana na fedha zinazowekwa na wateja wake kwenye AKAUNTI ya M-Koba.
Kuna hatari Akaunti hii inaweza kusimamishwa hadi Vodacom walipe hayo mabilioni wanayodaiwa, hivyo kuathiri fedha za vikundi vilivyowekwa huko.
Maoni yangu:
Vodacom ijitokeze itoe majibu kuhusu hii Sintofahamu
Hili suala linachanganya sana, wengi wanasema Lissu anazuiliwa kugombea uwenyekiti na ndio inapelekea yeye kuanika uovu wanaofanyiana. Kwanini watanchi tuchague watu wa namna hii?
Video ya Juu ni ile inayopotosha, video ya Chini ni ile inayozungumza Ukweli kutoka BBC.
Tundu Lissu
Nmeona tangazo kwenye baadhi ya makundi huko mtandaoni kuwa Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza nafasi za kazi kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Nimekutana na hii video jamaa akielezea kuwa ulaji wa maembe na maganda yake ni tiba ya asili ya Bawasiri. Msimu wa maembe ndio huu, kabla sijaenda nunua lumbesa ya maembe naomba kupata uhalisia wa taarifa, upotoshaji wa makusudi wa masuala ya Afya umeshamiri sana.
Wakuu leo katika pitapita za hapa na pale mtandaoni nimekutana na hii kauli ya Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Bara, Benson Kigaila kuwa idadi ya watanzania ni milioni 64 kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022.
Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Bara
Je uhalisia wa hili ni upi wakuu?
Wakuu nimekuwa nikiona watangaza bidhaa za dawa za tiba asili wanadai dawa zao hazina kemikali kabisa na kusisitiza watu kutumia hizo badala ya za hospitali ambazo huwa na kemikali.
Nimekumbuka baada ya kuona Heparin ameandika kuwa dawa zote za asili huwa ni salama kwa silimia mia na hazina Kemikali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.