Yaani kila nikimtazama labda nitaona kitu spesho juu yake lakini wapi.
Najiuliza maswali mengi hizi pesa zilizomwagwa hapa mbona haziendani na mwomekano yani apiarensi ya shem wetu?
Kwakweli...
Sote tunafaham ni Muigizaji (Msanii) lakini sio big fish kama Kanumba katika sanaa ya maigizo. Samata katika sanaa ya mpira. Diamond katika sanaa ya mziki. Mbowe katika siasa
Msanii Grace...
Hi guys!
Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu kwa ma miss na madazetu na kufanya wengine kuogopa hata kwenda kupima kutokanan na mawzo hivi jana alianguka akiwa kazini akisuburi...
Mmh!! Mpaka sasa hivi Majizzo bado hajatoa birthday wishes kwa aliyekuwa my love wake, Lulu Michael. Sio kawaida aiseh, leo tungeona mbwembwe za kila aina, ila nimepitia kwenye page ya Majizzo...
Kwa yaliyotrend ni doa sana kwa alichokiendea hija ni ibada kila muumini utamani kabla hajaondoka duniani angalau aipate nafasi hio.
Kupata kashfa kubwa kama ile si jambo la kusudio la kwenda...
Mpaka hivi muda huu pasaka inaishia ingekuwa Nchi zinazojielewa kama ulaya na USA mwijaku sahivi angejitokeza kuomba radhi na deals zote za makampuni zingevunja mikataba nae.
Lakini kwakuwa tupo...
Zipo tuhuma zinazolikabili kundi la muziki nchini linalopendwa na wakubwa pamoja na watoto na ndiyo kundi linalotumiwa hata kwenye kampeni za kisiasa.
Kwenye kundi hili kuna watu wa ajabu...
Katika kitu ambacho Irene Uwoya anakijutia na ataendelea kukijutia katika maisha yake ni kukubali kumvulia kufuli dogo janja, wengi sana tulimuonya tangu awali lakini alijifanya kuziba masikio na...
Kabla hajaukwaa Ukuu wa Wilaya, moja ya habari kubwa zaidi kumuhusu Jokate Mwengelo ambayo iliwahi kutikisa bara zima la Afrika, ni pale ambapo jarida bora zaidi ulimwenguni la Forbes lilipomtaja...
NB: Maada hii ipo kwa kutoa elimu ya kifedha, ndoa imetumika kama tukio maarufu la kutoa elimu, Jux na mke wake wawe na ndoa njema,
Kibunda chenye noti 500 huku kwetu ukijaza misimbazi kina...
Mimi sio hansome,sina hela,sina six pax,sina umaarufu wowote ila tangu january mpaka sasa nimeshatindua mabinti zaidi ya 19,na mwaka bada mbichi
kabisa
Siku ya msiba wangu nitatia aibu sana kwa...
I. Hapa TANZANIA (Tanganyika na Zanzibar) tunao kwa MAELFU ya watu wenye tabia mbovu PENGINE KUMZIDI p.didy (za kuwadhulumu watu wengine kingono).
II. Wengi wa waathirika huishia kunyamaza kimya...
Ee bhana eeh huu mwaka umeanza na mbio sana. Huu mwaka utaisha haraka maana si kwa raha hizi!! Ukiangalia mbele raha nyuma raha pembeni raha!! Ni raha juu ya raha!!
Baada ya jux kufunga ndoa, na...
Imenishangaza kuona ule ugomvi wa mganga maarufu wa miaka hiyo nani hakumfahamu Dr Manyaunyau? Akipigwa na mganga mwenzie mabanzi ya kutosha huku akitishiwa kubutuliwa na risasi pia wakiwa msibani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.