FT: Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
13,162
27,670
πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”°

πŸ† #NBCPremierLeague
⚽️ Young AfricansπŸ†šKagera sugar FC
πŸ“† 08.05.2024
🏟 Azam complex

πŸ•–01:00 usiku

20240508_130426.jpg

Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar


SnapTwitter.io_YoungAfricansSC_1ab.jpg
mpira umeanza

dakika ya 5
0-0

dakika ya 10
0-0

dakika 13
yanga sc wanafanya shambulizi aziz k ananaswa kwenye mtego wa offside

dakika ya 15
0-0

dakika ya 20
yanga sc wanapata kona

dakika ya 22
kagera sugar wanapata freekick chirwa kazchezewa madhambi wamepiga wamekosa

dakika ya 25
max kakosa goli la waziii bado ni
0-0

dakika 29
mpira umesimama kipa wa kagera sugar kaumia

dakika ya 31
kagera sugar wametengeneza nafasi chirwaaaaa anakosa nafasi ya wazi kabisaa

dakika ya 35
0-0

dakika ya 37
aziz k anakosa nafasi ya wazii

dakika ya 41
chirwaa amechezewa madhambi

dakika ya 43
pacomeee kakosa nafasi ya wazi

dakika ya 45+5
HT: Yanga SC 0-0 Kagera Sugar

SnapTwitter.io_azamtvtz_8f7.jpg

kipindi cha pili kimeanza

dakika ya 46
0-0

dakika ya 50
aziz k kafanyiwa madhambi kwenye boxi la kagera sugar anaenda kupiga mpiraa aiyaa amekosaa kagongesha mwamba chini kulia hapa

dakika ya 55
0-0

dakika ya 59
yanga wanakosa nafasi ya wazii hapa mechi imesimama mchezaji wa kagera sugar kaumia

dakika ya 62
yanga sc wanafanya mabadiliko anatoka job anangia mzize

dakika ya 66
0-0

dakika ya 70
yanga sc wanakosa nafasi ya waziii guede anakosa hapa

dakika ya 73
yanga sc wanafanya mabadiliko anatoka pacome anaingia mudathir anatoka farid anaingia lomalisa


dakika ya 76
yanga anakosa nafasi ya wazi

dakika ya 81
mudaaaathiiirrr goooooaaal

90+4
FT: Yanga SC 1-0 Kagera Sugar

SnapTwitter.io_azamtvtz_513.jpg
 
Back
Top Bottom