Mchawi wetu alikuwa nani juu ya "kuuzwa" Tanganyika yetu?

Kinkunti El Perdedo

JF-Expert Member
Nov 28, 2020
4,613
11,286
Huyu bwana ni Mzanzibar ameuliza maswali muhimu kwa Watanganyika.Hivyo basi nami,nimeleta kwenu GT kupata majibu ili tuweze kumbaini mchawi wetu alikuwa nani juu kuuzwa kwa Tanganyika yetu.

Source: Mtandao wa X

Screenshot_20240501-223441~2.jpg
20240507_141332.jpg
 
Maoni ya Watanzania wengi kuhusu muundo wa muungano unaofaa yamo ndani ya rasimu ya Katiba ya Warioba, yaani serikali tatu.

Mkwamo uliopo ni kutokana na sarakasi za ccm, wapingaji wa maoni ya umma
Binafsi naona sio wana ccm wote wanafaidika na matunda ya muungano bali kundi la wahafidhina wachache.Hawa ndo adui nambari moja wa taifa hili.
 
Back
Top Bottom